Waliosimamishwa UONGOZI na MBOWE, wahamia CCM

the horse

JF-Expert Member
Joined
Sep 27, 2011
Posts
652
Reaction score
442
Katika tukio lingine la hivi karibuni lenye kudhihirisha kasi ya CCM kuibomoa CHADEMA, Chama Cha Mapinduzi (CCM) wilayani Tarime, kimevuna wanachama wapya 800 ambao awali walikuwa ni wanachama na wafuasi wa CHADEMA.

Wanachama hao ambao idadi yao imetimia takriban 800 wamekuwa wakiingia CCM kwa muda wa wiki tatu mfululizo tangu kumalizika kwa ziara ya Mwenyekiti wa Taifa wa CHADEMA katika wilaya ya Tarime, ambapo wanachama zaidi ya 600 walijiunga wiki mbili zilizopita na 256 walijiunga na CCM jumanne iliyopita katika mikutano ya hadhara.

Mikutano hiyo ya hadhara ambayo inaendelea wilayani humo, jumanne ya juzi ilifanyika katika uwanja wa kituo cha Sirari, ukihutubiwa na Mwenyekiti wa CCM wa wilaya hiyo, Rashid Bogomba, ulihudhuriwa na mamia ya wakazi wa eneo hilo na katika mkutano huo ndipo wanachama wengine 256 waliporudisha kadi za chadema na kujiunga na CCM na kutimiza idadi ya wanachama hao wapya kutoka chadema kutimia zaidi ya 800.

Wanachama hao wamedaiwa kuhamia CCM baada ya Mwenyekiti wa CHADEMA Taifa , Freeman Mbowe kuwasimamisha uongozi viongozi wa CHADEMA wa wilaya hiyo ya tarime, ambao waliamua kuhamia CCM wakifuatwa na wafuasi wao kutoka katika chama hicho.

Source: Uhuru_ukurasa wa 8
 
come on! even all people will go for CCM just because of money supplied by leadership that will not take the truth that CCM ni Mafisadi.
 
mbona sababu imewekwa wazi kuwa ni maamuzi ya kukurupuka ya mbowe,, hili la MONEY limetoka wapi mwanawane..?????
 
Wanahamia kimwili wakishajazwa mapesa,lakini mioyoni bado wako CHADEMA.
 
Kama taarifa hii ni ya kweli basi mpaka kufikia 2015 Chadema wanaweza wasiwe na kiti cha Ubunge hata kimoja. Haiwezekani kila kukicha tupate taarifa za watu kukihama chama hiko na kisha tuendelee kujipa imani kuwa kipo salama na kitavuka bahari pamoja na mawimbi haya mazito ambayo chombo chao kimeshaonyesha udhaifu wa kuyakabili.
 
hawa jamaa wanaohama vyama hawafai kuwa viongozi maana wanatakiwa wapambane na matatizo na sio kuyakimbia hayo matatizo.hawa ndo sometimes wanakimbia familia kwa kwenda kutafuta maisha mteremko
 
Kama taarifa hii ni ya kweli basi mpaka kufikia 2015 Chadema wanaweza wasiwe na kiti cha Ubunge hata kimoja. Haiwezekani kila kukicha tupate taarifa za watu kukihama chama hiko na kisha tuendelee kujipa imani kuwa kipo salama na kitavuka bahari pamoja na mawimbi haya mazito ambayo chombo chao kimeshaonyesha udhaifu wa kuyakabili.
Mkuu,
Una habari kuwa sasa hivi CCM wanaogopa uchaguzi mdogo hata wa ngazi ya chini kabisa ya mtaa?
 
Source of information, uhuru news peper;
ipo kazi hapo!!!
Hivi uhuru inatoka siku gani vile kwa wiki, na linauzwa bei gani vile?
 
Wana JF heshima kwenu wakuu !!

Ni vyema tukawa makini ha hawa misukule wa Lumumba, kwa vile wanajua kusoma na kuandika hivyo basi wana andika kila kitu anacho kihisi.
Mkuu the horse, wewe upu Lumumba habari za Tarime umezijuaje ? Inaonenyesha dhahiri wewe hujawahi kufika Tarime na wananchi wa Tarime huwafahamu vizuri ? Sifa kubwa inayo watofautisha Wakurya na Makabila mengine ni kwamba hawa jamaa zetu hawayumbishwi na propaganda, ni watu wenye msimamo na hivi karibuni wamezindua kauli mbiu yao "kula CCM, kura CHADEMA" kama huamini tumuombe Mwenyezi Mungu atupatie pumzi mimi na wewe ili ushuhudie maamuzi ya wana Tarime ifikapo mwaka 2015.

Mkuu the horse ni vyema ukawa muwazi na ukaachana na unafiki kwani hauta kusaidia huko tuendako. Hivi kati ya CHADEMA na CCM ni viongozi wa chama kipi hufanya maamuzi yao kwa kukurupuka ?
 
Source ni Uhuru? hahahaaaaaaaaaa aibu yako na ya gazeti la magwepande
Katika tukio lingine la hivi karibuni lenye kudhihirisha kasi ya CCM kuibomoa CHADEMA, Chama Cha Mapinduzi (CCM) wilayani Tarime, kimevuna wanachama wapya 800 ambao awali walikuwa ni wanachama na wafuasi wa CHADEMA.

Wanachama hao ambao idadi yao imetimia takriban 800 wamekuwa wakiingia CCM kwa muda wa wiki tatu mfululizo tangu kumalizika kwa ziara ya Mwenyekiti wa Taifa wa CHADEMA katika wilaya ya Tarime, ambapo wanachama zaidi ya 600 walijiunga wiki mbili zilizopita na 256 walijiunga na CCM jumanne iliyopita katika mikutano ya hadhara.

Mikutano hiyo ya hadhara ambayo inaendelea wilayani humo, jumanne ya juzi ilifanyika katika uwanja wa kituo cha Sirari, ukihutubiwa na Mwenyekiti wa CCM wa wilaya hiyo, Rashid Bogomba, ulihudhuriwa na mamia ya wakazi wa eneo hilo na katika mkutano huo ndipo wanachama wengine 256 waliporudisha kadi za chadema na kujiunga na CCM na kutimiza idadi ya wanachama hao wapya kutoka chadema kutimia zaidi ya 800.

Wanachama hao wamedaiwa kuhamia CCM baada ya Mwenyekiti wa CHADEMA Taifa , Freeman Mbowe kuwasimamisha uongozi viongozi wa CHADEMA wa wilaya hiyo ya tarime, ambao waliamua kuhamia CCM wakifuatwa na wafuasi wao kutoka katika chama hicho.

Source: Uhuru_ukurasa wa 8
 
Katika tukio lingine la hivi karibuni lenye kudhihirisha kasi ya CCM kuibomoa CHADEMA, Chama Cha Mapinduzi (CCM) wilayani Tarime, kimevuna wanachama wapya 800 ambao awali walikuwa ni wanachama na wafuasi wa CHADEMA.

Wanachama hao ambao idadi yao imetimia takriban 800
wamekuwa wakiingia CCM kwa muda wa wiki tatu mfululizo tangu kumalizika kwa ziara ya Mwenyekiti wa Taifa wa CHADEMA katika wilaya ya Tarime, ambapo wanachama zaidi ya 600 walijiunga wiki mbili zilizopita na 256 walijiunga na CCM jumanne iliyopita katika mikutano ya hadhara.

Mikutano hiyo ya hadhara ambayo inaendelea wilayani humo, jumanne ya juzi ilifanyika katika uwanja wa kituo cha Sirari, ukihutubiwa na Mwenyekiti wa CCM wa wilaya hiyo, Rashid Bogomba, ulihudhuriwa na mamia ya wakazi wa eneo hilo na katika mkutano huo ndipo wanachama wengine 256 waliporudisha kadi za chadema na kujiunga na CCM na kutimiza idadi ya wanachama hao wapya kutoka chadema kutimia zaidi ya 800.

Wanachama hao wamedaiwa kuhamia CCM baada ya Mwenyekiti wa CHADEMA Taifa , Freeman Mbowe kuwasimamisha uongozi viongozi wa CHADEMA wa wilaya hiyo ya tarime, ambao waliamua kuhamia CCM wakifuatwa na wafuasi wao kutoka katika chama hicho.

Source: Uhuru_ukurasa wa 8

chanja mbuga chama tawala, ndio kazi iliyobaki...wao maneno sisi vitendo
 
Tunaomba uthibitisho wa uhakika sio unasema tu wanachama 800 onyesha picha, hasa wakati wanarudisha kama ambavyo CHADEMA ilifanya kuleee LOLIONDO
 
Wana JF heshima kwenu wakuu !!

Ni vyema tukawa makini ha hawa misukule wa Lumumba, kwa vile wanajua kusoma na kuandika hivyo basi wana andika kila kitu anacho kihisi.
Mkuu the horse, wewe upu Lumumba habari za Tarime umezijuaje ? Inaonenyesha dhahiri wewe hujawahi kufika Tarime na wananchi wa Tarime huwafahamu vizuri ? Sifa kubwa inayo watofautisha Wakurya na Makabila mengine ni kwamba hawa jamaa zetu hawayumbishwi na propaganda, ni watu wenye msimamo na hivi karibuni wamezindua kauli mbiu yao "kula CCM, kura CHADEMA" kama huamini tumuombe Mwenyezi Mungu atupatie pumzi mimi na wewe ili ushuhudie maamuzi ya wana Tarime ifikapo mwaka 2015.

Mkuu the horse ni vyema ukawa muwazi na ukaachana na unafiki kwani hauta kusaidia huko tuendako. Hivi kati ya CHADEMA na CCM ni viongozi wa chama kipi hufanya maamuzi yao kwa kukurupuka ?

weka ushahidi vinginevyo itakuwa ni sawa na debe tupu.
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom