Walioshinda suala la kufanya mapenzi kabla ya ndoa

Walioshinda suala la kufanya mapenzi kabla ya ndoa

1.Kumhofu Mungu.(Zaburi 97:10)
2.Kumpenda Mungu (Mathayo 22:37)
3.Tambua Madhara ya Uasherati.(1 Korintho 6:9,10)
4.Epuka vishawishi,
5.Usikae na mchumba wako Eneo la faragha mkiwa wawili.
6.Epuka Ponografia(Picha,video au riwaya zinazoamsha nyege.)
7.Dhibiti Mwili wako,uongoze Kama Mtumwa,kamwe usiwe Mtumwa wa tamaa za Mwili.
Point

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom