Supervision
JF-Expert Member
- Jun 16, 2016
- 265
- 203
Wakati tunaingia kwenye uchaguzi watu walisema wanataka Rais asiyeogopa,mwenye maamuzi magumu,mtu fulani anayefanana na kagame lakini baada ya kuja mtu kama huyo wamebaki wanaokoteza hoja nyingine.
Mi nadhani katika kipindi hiki wote tunatakiwa kuungana na kuwa kitu kimoja ili kulifanya taifa lisonge.
Kitu cha msingi ni kuwa pamoja na kuangalia tunachoweza kufanya taifa lisonge lasivyo tutaishia kulalamika tu !