Waliosema chadema haitashinda arumeru mbona siwaoni?????

kamanda mkuu

Member
Joined
Aug 5, 2011
Posts
15
Reaction score
4
Ndugu zangu kuna jamaa nawaulizia humu sijawaona kabisa sijui wako wapi tena kina Rejao,Nape na wengine waliokuwa wanamshabikia marehemu ccm wako wapi?na je nabii Frora vipi hatoi unabii mwingine? nawasilisha msaada tafadhali
 
Wanaona haya! Aibu yao furaha yetu! Hata kwa Udiwani wa kirumba wapo walokuwa wakishoboka eti chadema watashindwa. AIBU YAO
 
Ndugu zangu kuna jamaa nawaulizia humu sijawaona kabisa sijui wako wapi tena kina Rejao,Nape na wengine waliokuwa wanamshabikia marehemu ccm wako wapi?na je nabii Frora vipi hatoi unabii mwingine? nawasilisha msaada tafadhali

wanajipoza kwa kunywa gongo muda huu wakiwa na mashavu Lusinde na Nchemba!!
 
magamba yamewalemea hata kunyanyuka hawawezi
 
ndugu zangu kuna jamaa nawaulizia humu sijawaona kabisa sijui wako wapi tena kina rejao,nape na wengine waliokuwa wanamshabikia marehemu ccm wako wapi?na je nabii frora vipi hatoi unabii mwingine? Nawasilisha msaada tafadhali

kamanda mkuu hebu nipe kidogo nabii flora alitoa unabii gani?
 
Aibu yao wenyewe wamebana mwishowe waeachia viva chadema
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom