Waliopo kuzimu sio marehemu

Waliopo kuzimu sio marehemu

Kati ya vitu huwa naogopa kuskia ni haya mambo ya roho,, yaan roho yangu ikaonane na idd amin [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
[emoji15] [emoji15] [emoji15] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji115]
 
Nina swali kwako mshana jr

Hukumu kwa binadamu aliyekufa inaanzia wapi?

Kaburini, kuzimu au jehanum baada ya parapanda kulia?
 
Kuna roho zipo miili ilipolala, hii ni dhana ya peponi ama blissful state
Kuna roho hazina kikao zinatangatanga hii ni dhana ya kuzimu, mara ziwe mizimu mara ziwe mashetani nk hawa ni hungry ghost ni full mateso
Hukumu ina tafsiri pana kulingana na imani ya mtu
 
Sawa, kulingana na imani yako...je hukumu inaanzia wapi?
 
Hukumu kwenye nini? Dhana ya kutenda kitu kinachoitwa mambo mabaya ?
Tunarudi palepale kwenye imani
Wahindu wanaamini kuwa ng'ombe ni mungu wao hivyo haliwi, lakini imani zingine wanasema ng'ombe ni lishe wanakula
 
Mshana bana mambo yako kama mtoa roho unejuaje haya ....lakini yana ukweli %56 MTU akifa au kufaliki kuna safari ya kufukia sehemu tofauti tofauti yaani kusubuli hukumu au adhabu kutokana na makosa yake 1,biblia usema baada ya kifo ni hukumu . sasa yupi anasubili hukumu Bali no wrote hila kabla ya hukumu yapo mateso kama kawaida ya mfungwa Wa makosa makubwa na hipo faraja ya yule mwingine asiye na makosa yaani Maisha yake yalikuwa no mema (kumcha Mora na kufuata matendo take Hugo anapumzika japo naye anasubili hukumu ya matendo take maana yatapimwa .....niachie hapo aendelee mwingine anayejua zaidi
 
Duu mbona unakatisha utamu njiani? Tufikishe kileleni tafadhali
 
[emoji15] [emoji15] [emoji15] [emoji3] [emoji23] kama hizi?
49ce584153e4c2b1b00713cc7d2e9ad6.jpg
 
Duu mbona unakatisha utamu njiani? Tufikishe kileleni tafadhali
Somo la wafu ni kubwa na pana yatupasa kusoma na kuelewa vizuri kuhusu Maisha baada ya kufa utokea nini. ktk vitabu vyetu vya kidini (Biblia ,Msahafu) hata ukisoma kitabu agano jipya habari ya ibrahimu baba Wa imani .kuhusu yule tajili na yule maskini kabla ya kufa waliishi Maisha yao tofauti na baada ya kufa kila mmoja alikwenda mahali panapo stahili yaani kwenye mateso (jehanam) na sehemu ya faraja (paradiso)
 
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
 
Unajua maana ya Mfano Mkuu?

Usipende kueleza mambo usiyoyajua.
Ahsante
 
Unajua maana ya Mfano Mkuu?

Usipende kueleza mambo usiyoyajua.
Ahsante
[emoji15] [emoji15] [emoji15] [emoji15] [emoji144] [emoji144] [emoji144] [emoji115] [emoji115] [emoji115]
 
kuzimu2.png
imitation ya kuzimu kulivyo kulingana na mtazamo wa kibinadamu kidunia... Huu ni mtazamo wenye makosa makubwa, zilizoko kuzimu ni roho sio miili
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom