Waliopata Div.4.32-34

Vannesa

Member
Jun 3, 2014
49
5
Msaada kwa hili jaman hivi ni kweli waliopata alama 32-34 watasoma ualimu miaka mitatu?
 
Ni kweli sahihi kabisa !Sema ulicho na uhakika nacho ! Ila uongeaji huu utaumbuka mbeleni !

snipa

Itaumbuka wizara ya Elimu kwa sababu mie nimetumia information zilizopo ktk Tovuti ya wizara ya Elimu kwenye Tangazo la mafunzo ya ualimu,otherwise kama labda Kuna means nyingine ya kuprove tetesi bila document
 
Last edited by a moderator:
"Watakaofaulu mafunzo kabilishi wataendelea mwaka wa pili wa mafunzo ngazi ya cheti daraja la IIIA "
sasa hao daraja la tatu A wanasoma miaka 3?
 
"Watakaofaulu mafunzo kabilishi wataendelea mwaka wa pili wa mafunzo ngazi ya cheti daraja la IIIA "
sasa hao daraja la tatu A wanasoma miaka 3?

kwa hiyo atakaye faulu hayo mafunzo ataanza tena upya miaka miwili ya ualimu daraja la tatu A?
 
Msaada kwa hili jaman hivi ni kweli waliopata alama 32-34 watasoma ualimu miaka mitatu?

utasoma mwaka mmoja (bridging course) then utafanya mtihani na ukifaulu utaruhusiwa kumalizia mwaka mwingine mmoja (wa pili). hivyo jumla ni miaka miwili tu kama kawaida otherwise wa miaka mitatu ni wale wa stashahada. umeelewa???
 
hapo nimeelewa....
 
Jamani hao wenye four za 32-34 na 26-27 wanasoma bridging course mwaka 1 ndipo wanajiunga na vyuo vya ualimu baada ya kufaulu course hiyo kwahiyo watasoma miaka 3
 
Itaumbuka wizara ya Elimu kwa sababu mie nimetumia information zilizopo ktk Tovuti ya wizara ya Elimu kwenye Tangazo la mafunzo ya ualimu,otherwise kama labda Kuna means nyingine ya kuprove tetesi bila document

Ubishi ambao hauna maana huwaga siwi involved !

Ukweli ndio huo ! Miaka mitatu !
Wakwanza ni kama bridging course !

Ukiendelea kubisha sitakujibu !

snipa
 
Last edited by a moderator:
Kutokana na miongozo wa wizara ya elimu na mafunzo ya ufundi (2014). wanafunzi waliopata div four 32-34 watajiunga na ualimu isipokuwa watasoma mafunzo karibishi (bridging course) mwaka 1 halafu atafanya mtihani akifaulu ataruhusiwa kuendelea na mwaka wa 2 na wenzake. Div 1 -3 atajiunga na chuo moja kwa moja na kama ni sayansi div 1 atasomeshwa bure na wizara. Waliopata div 2-3 watapewa mkopo na serikaliwa kusoma.
 
Kk eleza bc source ama gazet la h leo nijuavyo haya mambo huenda kwa waraka.ss upi na wa lini.jama msitoe mambo kw kuliwaz watu huenda bora washikilie walipo.waraka ni bora zaid kuliko maelezo
 
Kk eleza bc source ama gazet la h leo nijuavyo haya mambo huenda kwa waraka.ss upi na wa lini.jama msitoe mambo kw kuliwaz watu huenda bora washikilie walipo.waraka ni bora zaid kuliko maelezo

Andika vizuri kwanza kwa kiswahili !
Kama hutojali
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom