kunguni wa ulaya
JF-Expert Member
- Mar 16, 2014
- 4,131
- 6,140
Ndio majina yapo tayari. Mimi nimeona.Naomba kuuliza kama waliopangiwa mashule kwa kidato cha kwanza 2019 - 2020 tayari?

Nisaidie link kama ipo...Ndio majina yapo tayari. Mimi nimeona.
Ila sio mikoa yote wslioweka tayari.Nisaidie link kama ipo...
Hamna lolote hapa jamani mwenye link ya necta awekeIla sio mikoa yote wslioweka tayari.
![]()
Form one selection 2024 - Waliochaguliwa kidato cha kwanza 2024
Discover your future! Check out the Form One Selection 2024 guide for Majina Ya Waliochaguliwa Kidato Cha Kwanza 2024. Secure your spot with our easy step-by-step process!udahiliportal.com
Mbona wantaka na surname na passwordIla sio mikoa yote wslioweka tayari.
![]()
Form one selection 2024 - Waliochaguliwa kidato cha kwanza 2024
Discover your future! Check out the Form One Selection 2024 guide for Majina Ya Waliochaguliwa Kidato Cha Kwanza 2024. Secure your spot with our easy step-by-step process!udahiliportal.com
Mkoa gani?Mbona wantaka na surname na password