Waliopangiwa kidato cha kwanza 2019 - 2020

moyafricatz

JF-Expert Member
Nov 27, 2015
2,900
4,869
Naomba kuuliza kama waliopangiwa mashule kwa kidato cha kwanza 2019 - 2020 tayari?
 
Dah Ingekuwa Ile JF Ya Miaka Ile Ingekuwa Tayr.
Yani nazunguka kote sioni kitu.
Au wametoa takwimu tu bila ya majina.
Screenshot_20191205-111000_Facebook.jpeg
 
Jamani mnitag mapema link ikitoka dogo langu ana A zote sijui watampeleka wapi
Kama kazipatia shule za private mtafutie shule ya private. Nathani post za shule za serikali ni kwa ajili ya wanafunzi waliomaliza shule za serikali. Sidhani wanafunzi wa private serikali inawapangia kugombania shule za serikali ambazo kimsingi nafasi ni chache vilevile hata akipangiwa mzazi anaweza asimpeleke!
 
Wa serikali wengi wanakua hawajafaulu vzr kwahiyo wanawachanganya wale wa provate wenye wastani mzuri.
 
Mhh!! Kumbe inakuwaga hivyo? Sidhani! Au itakuwa haijakaa sawa kama hiko hivyo. Wenye ufaulu mzuri kwa wingi ni private kutokana na mazingira mazuri ya ufundishaji. Vilevile wazazi/walezi wanauwezo wa kuwapeleka private secondary schools. Sasa iweje washindanie nafasi chache za secondary za serikali ili hali mzazi/mlezi anaweza asikubali shule za serikali???
 
Kama wamefaulu toka popote pale wana haki y kusoma shule za serikali cha msingi kukidhi kigezo cha ufaulu tu. Tena serikali inawapenda ili kwenda kuchangamsha shule zake na kuleta matokeo mazuri kidato cha 4.
 
Back
Top Bottom