wameanza kutoa, LIVE Updates : PDF Files All Regions FORM ONE SELECTIONS 2020 | Students Selected to Join Form One 2020Poor heading!! Waliopangiwa wako wapi??Hakuna majina wala Hakuna link
Jamani mnitag mapema link ikitoka dogo langu ana A zote sijui watampeleka wapi
Miaka yote huwa yanapatikana kwenye mitandao pia! Hii Tanzania ni kubwa na Halmashauri nyingi ziko mbali na wananchi wengi! Pia maisha ya sasa kwa taharifa zinazogusa moja kwa moja wananchi lazima utumie mtandao! Mnaturudisha miaka ya 47?Majina huwa yapo halmshauri husika.
Kutoa list mitandaoni labda waanze mwaka huu.
Duuuh mkuu kama ule uzi wa kula tunda kimasihara vileWatampeleka Dubai
Mbona mi sioni orodha ya wanafunzi waliopangiwa kidato cha kwanza wadau?
HekoYani nazunguka kote sioni kitu.
Au wametoa takwimu tu bila ya majina.View attachment 1282344
Shule ya kata tu mkuu, wala usiwe na shauku sanaJamani mnitag mapema link ikitoka dogo langu ana A zote sijui watampeleka wapi
Duuuh warea si unajuwa enzi zetu ukiwa na A zote unaanza kuwaza Tabora boys, Ilboru,Mzumbe na nkShule ya kata tu mkuu, wala usiwe na shauku sana
Hahahahaaaa, nilibahatika kwenda Boarding pekee yangu kwa wavulana kata nzima, sikulala aisee nikawa nawaza jinsi huko panavyofanana, kuanzia jiji hadi shule ilivyo.....Duuuh warea si unajuwa enzi zetu ukiwa na A zote unaanza kuwaza Tabora boys, Ilboru,Mzumbe na nk
Hahahhahaha huwa naicheki sana hadi nafurahi mwenyewe, mie kutoka kijijini ndio kwanza hata mjini kwenyewe sipajui ila ndio hivyo nilienda Boys Tabora hukoHahahahaaaa, nilibahatika kwenda Boarding pekee yangu kwa wavulana kata nzima, sikulala aisee nikawa nawaza jinsi huko panavyofanana, kuanzia jiji hadi shule ilivyo.....
Nicheki avatar ndio picha yangu ya passport niliyoweka kwenye ID ya shule nikiwa O-level. Naendelea kuitunza ataiona mtoto wangu Mungu akipenda
Mimi pia siku naenda shule ndio ilikuwa siku ya kwanza kupafahamu Singa Town...Hahahhahaha huwa naicheki sana hadi nafurahi mwenyewe, mie kutoka kijijini ndio kwanza hata mjini kwenyewe sipajui ila ndio hivyo nilienda Boys Tabora huko
Wee mzee [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Mimi pia siku naenda shule ndio ilikuwa siku ya kwanza kupafahamu Singa Town...
Shule imenifanya niyajue majiji 2 makubwa nchini. O-level nipelekwa jijini, A-level nikapelekwa jiji lingine pia ndio nikazamia huko hadi nikajinyakulia kadigrii kangu cha kibashite ambacho kanapigwa mweleka mtaani[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji125][emoji125][emoji125][emoji125][emoji125][emoji125]Wee mzee [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Hahahahha vija wang'uMimi pia siku naenda shule ndio ilikuwa siku ya kwanza kupafahamu Singa Town...
Shule imenifanya niyajue majiji 2 makubwa nchini. O-level nilipelekwa jijini, A-level nikapelekwa jiji lingine pia ndio nikazamia huko hadi nikajinyakulia kadigrii kangu cha kibashite ambacho kanapigwa mweleka mtaani[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Wajifya munane..Hahahahha vija wang'u
Are vasalimie anto vong'e kukoWajifya munane..