Walioongoza 'mapinduzi' Burundi wafungwa maisha

RUCCI

JF-Expert Member
Oct 6, 2011
1,701
1,714
Mahakama moja nchini Burundi imewahukumu majenerali wa jeshi walioongoza mapinduzi dhidi ya rais wa Burundi Pierre Nkurunziza kifungo cha maisha.

Mahakama hiyo pia imewahukumu watu wengine tisa miaka 30 jela kwa jukumu lao katika jaribio hilo la mapinduzi .

Wanne hao watakaohudumia kifungo cha maisha jela ni aliyekuwa waziri wa ulinzi Cyrille Ndayirukiye,Jenerali Zenon Ndabaneze, Juvenal Niyungeko na Hermenegilde Nimenya aliyekuwa kamishana wa polisi.


Upande wa mashtaka uliiagiza mahakama kuwafunga washtakiwa wote kifungo cha maisha baada ya kukiri kushiriki katika jaribio hilo la mapinduzi mnamo mwezi Mei.

Chanzo: BBC
 
Mwanajeshi mwenye nidhamu hata umfanyeje habadiriki, hebu ona jamaa alivyowaambia mahakamani..
 
Watusi buana mbona hizo ideologies za kutawala wengine hamzileti bongo,
Yaani mna ideologies za kikoloni kweli lakini ni watu dhaifu sana aisee
 
mwanajeshi mwenye nidhamu hata umfanyeje habadiriki, hebu ona jamaa alivyowaambia mahakamani..

CX7ZhruW8AANEJp.jpg
He conveniently forgot to add that those 'civilians' were using military grade weapons to attack those police troops as well as setting fire to buildings, throwing grenades and shooting indiscriminately at the other innocent civilians. What did he do then?
 
CX7ZhruW8AANEJp.jpg


Huyu ututsi unamsumbua hakuna cha kuonea huruma raia wala nini ni utaratibu wao wa kutaka kuona taifa la Burundi linaongozwa na watutsi.
 
Watusi buana mbona hizo ideologies za kutawala wengine hamzileti bongo,
Yaani mna ideologies za kikoloni kweli lakini ni watu dhaifu sana aisee
Wewe kama unazipenda zirete kwenye mji wa baba ako uko kwenu ndani.......
 
Nina hofu kubwa na bingwa wa intelijensia ukanda wa maziwa makuu.

PK huwa simwamini kabisa kabisa. Ni hatari sio kawaida.

YKM anamfahamu vizuri sana.
 
Back
Top Bottom