Waliooa ni vijembee nawakubali

Leo hujaandikiwa KK.

Usisahau ibada leo.
 
Naomba unielezee kwa maana sijaelewa umeniacha solemba

Sent using Jamii Forums mobile app
Ni hivi ili ndoa yoyote idumu na iwe na mafanikio lazima focus yote iwe kwa mwanamke. Kwa maana hiyo mwanaume anatakiwa ajikane ili kumridhisha mwanamke kitu ambacho ni kigumu kutokana na nature yenu nyie wanawake ya kuwa mysterious (kutosomeka kwa urahisi)
 
Kwahiyo siku hizi mnalazimishana kuoa?
Au mnafikiri ndoa ni kama kato kila mtu anayo? Bora hao walojijua hawafit kuoa wakaamua kutokuoa kuliko walolazimisha mwisho wa siku wanaidhalilisha tu taasii ya ndoa.


Sasa umewasifia walooa alafu humo humo ukaelezea upuuzi wao, unaelewa kweli unachoongelea au stress?
 
Hata sijawahi kuota kuwa nimeoa, leo nijikimbize kuoa ili iweje, maisha ya usingle sijayachoka.
 
Nimependa zaidi hapo kwenye umaliziaji...[emoji39][emoji39][emoji39]
 
Oh siukweli kwani uongo usiwadanganye watu wasioe watulie na familia zao wewe ndio unawapotosha kabisa .
Kila mtu anayejitambua anatakiwa aoe kwa maana kama unalipwa mshahara malaya wanakula nakuwaletea magonjwa ndio nini bora mtu aliyeoa akifurahia maisha maana hata ijioni anarudi kwake anapokelewa na watoto wao wanaingia kama mizimu au wafu no sound no wife no kids sio sifa hiyo kaa ujue hilo.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…