Interlacustrine E
JF-Expert Member
- Jun 3, 2020
- 3,396
- 6,025
Hisia huwa hazilazimishwi bali hujengeka zenyewe na zikidumu hugeuka kuwa upendo wa dhati.Mwanamke asie kua na hisia na wewe ni wakazi gani? Mshauri arudi kwao kwa mda ili ajitafakari umpya
Bora utoe somoooo waeleweeJe Kama mtu Libido hipo chini hapa JF Kuna watu hawafahamu hata Libido
Dah we jamaa ulikosea sana.mbona kabla ya mimba alikua na hyo hyo tbia ya kutopenda kusex..ndo nikamuambia nkimuoa abadilike..akaniahidi..lakini wapii..na before hapo kuna mdau alimtoleaga barua demu akaipiga chini na kunikubali mimi..
mkuu mie sijisifii hua namuandaa vzr tu..na mby zaid nkiw nasex nae..ushiriakino hauwi Mutual.Pengine humuandai vzr
Kijana Hana uvumilivu huyu....angejua wanawake wengi wanainjoi sex baada ya kujifungua, hajiulizi Kwa nini wengi wanaganda Kwa single mamazš¤£Huyo ana hasira na wewe kwa kumtia hiyo mimba,
Jaribu kumvumilia mpaka atakapo zaa,huenda akabadilika,inawezekana mimba ndio inamfanya awe hivyo.
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] walishindwa kuonjana kwanza. Wanafika mezani chakula hakina chumvi.Tombaneni kabla ya ndoa ili muwe na uhakika mnaridhishana.
Huyo mke ulilazimishwa kumuoa?
Unasumbua watu bure
Pole sana ndugu naomba nikushauri ufanye mpango wa kushirikisha wana familia hasa shangazi mtu na viongozi wa dini, pia na wewe upate mtu mzima wakumshirikisha hili ili uweze kupata nasaa ya kupita ktk hilo.Nimebahatika kupata mke na nina muda wa miezi 9 sasa. Cha ajabu toka ndoa mpaka leo mke hajawahi kua na hisia namie.
Na miezi hyo 9 tumesex chini ya mara 3 na zote kwa kubembeleza. Na nisipoomba sex yeye hana haja ya kutamani tendo la ndoa mpaka nianze mie, na hata nikianza sioni ushirikiano.
Wakuu niko dilemma naombeni mawazo yenu.
Kwahio Kipindi chote hiko hujamuuliza tatizo/ sababu???!!Hata sielewi..huenda sipendwi kiukweli.
Amna hata sio potofu ww tu umeogopa ila huwez jua inaweza ikawa ndo njia ya kumfurahishašš
ahsante studioasikudanganye awaye kiumbe yoyote mkuu, hakuna mwanamke hapendi sex, ila tunachukia kufanya na watu tusio na hisia nao, Mimi mwenyewe nikiwa sikupendi nitakuambia nachukia sex mno, ila kiukhalisia nikiwa na mtu ninayempenda hata nikimtazama tu ninalowa...!!
Eti walionjana kwa tabu sana yani force!![emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] walishindwa kuonjana kwanza. Wanafika mezani chakula hakina chumvi.
Sent using Jamii Forums mobile app
UnapigiwaNimebahatika kupata mke na nina muda wa miezi 9 sasa. Cha ajabu toka ndoa mpaka leo mke hajawahi kua na hisia namie.
Na miezi hyo 9 tumesex chini ya mara 3 na zote kwa kubembeleza. Na nisipoomba sex yeye hana haja ya kutamani tendo la ndoa mpaka nianze mie, na hata nikianza sioni ushirikiano.
Wakuu niko dilemma naombeni mawazo yenu.
Uongo mtupuu unatakaa waachane rasmi sasa, lolAmna hata sio potofu ww tu umeogopa ila huwez jua inaweza ikawa ndo njia ya kumfurahisha[emoji23][emoji23]
Sasa unataka ushirikiano gani Kwa mtu mwenye mimba tumbo la miezi 7?, Akate viuno? Mwisho amuumize mtoto tumboni?mkuu mie sijisifii hua namuandaa vzr tu..na mby zaid nkiw nasex nae..ushiriakino hauwi Mutual.
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] sasa hili ndo tatizo, daaahEti walionjana kwa tabu sana yani force!!
nishafanya hivyo mkuu sana tu..yeye huwa anajibu tu haelewi tatizo..Kwahio Kipindi chote hiko hujamuuliza tatizo/ sababu???!!
Jaribu kumuuliza kwanza usikie anasemaje tofauti na hapo jiongeze tu hupendwi hapo mkuu!
Daaah ulizingua yaani unaona dalili ya mvua alafu unatarajia upate juambona kabla ya mimba alikua na hyo hyo tbia ya kutopenda kusex..ndo nikamuambia nkimuoa abadilike..akaniahidi..lakini wapii..na before hapo kuna mdau alimtoleaga barua demu akaipiga chini na kunikubali mimi..
Duhhhhhhhhh!!!nishafanya hivyo mkuu sana tu..yeye huwa anajibu tu haelewi tatizo..
Halafu ni wengi hao na wanazidi kuongezeka! Halafu huyo tayari alikuwa mjamzito lazima atake kuolewa iisheAlitaka harusi, harusi mlisha fanya na imepita. Mambo ya unyumba na ndoa yeye sio chaguo lake, yeye alitaka harusi tu