"waliooa na walioolewa"

Nilijua utapagongea SENKSI tu!
Lakini ulichunga vimeo vile kibao broda!...Maana wale huwa wanalipia wenyewe gharama za eneo la tukio, mengine mnaelewana mkiwa huko!πŸ˜€
hahahahaha!
kamgongee SENKSI stv!maanake ''ALIDUU ZE NIDIFUL'' kuna trekta moja pale linaitwa sijui ASHURA/SELINA...DAH!...''steve aliitengeneza njia ya bwana,na AKAYANYOOSHA MAPITO YAKE....''

watu WEWEEEEEEEEEEEEEEE
 
Si lazima. Tena nasema SI LAZIMA! Watu wanakosa kuaminiana, wanaondokewa na hofu ya Munfu ndani yao, tamaa zimezidi, na zaidi wanakosa mawasiliano ndani ya nyumba. Sababu ni nyingi mno na hata ukisema utaje zote nakuhakikishia hutamaliza maana wengine wana laana toka kwa mababu na mabibi zao. Hata wapendwe vipi, hata wahudumiwe vipi, bado watatoka nje tuu
 
Hiyo reseach yako 75% mbona ina utata mwingi ina maana 25% tu ndio ziko salama
 
hahahahaha!
kamgongee SENKSI stv!maanake ''ALIDUU ZE NIDIFUL'' kuna trekta moja pale linaitwa sijui ASHURA/SELINA...DAH!...''steve aliitengeneza njia ya bwana,na AKAYANYOOSHA MAPITO YAKE....''

watu WEWEEEEEEEEEEEEEEE
He..πŸ˜•...BRODA!
Hivi mywife wako huwa hatembelei huku?
 
Nilijua utapagongea SENKSI tu!
Lakini ulichunga vimeo vile kibao broda!...Maana wale huwa wanalipia wenyewe gharama za eneo la tukio, mengine mnaelewana mkiwa huko!πŸ˜€
Nikisoma katikati ya mistari, hapa naona kuna jambo linalozungumziwa ambalo liko kinyume na maadili ya ndoa. Ila kiukweli Pikiniki hapafai! Nitarudi tena Ar.
 
hahahahaha!
kamgongee SENKSI stv!maanake ''ALIDUU ZE NIDIFUL'' kuna trekta moja pale linaitwa sijui ASHURA/SELINA...DAH!...''steve aliitengeneza njia ya bwana,na AKAYANYOOSHA MAPITO YAKE....''

watu WEWEEEEEEEEEEEEEEE
He!

He..πŸ˜•...BRODA!
Hivi mywife wako huwa hatembelei huku?
Usijali broda. Shemejiye niko hapa nanasa matukio. Namba ya mshiki hii hapa!!!!!
 
75% ya wanandoa naowafahamu wana mahusiano ya mapenzi nje ya ndoa wanawake kwa waume .
Naomba kuuliza hivi ni jambo la lazima kwa wana ndoa kuwa na uhusiano wa kimapenzi nje ya ndoa? Ni nini kinapelekea kuwepo kwa tabia hii.!!!!!!!
Ndugu, hapa naona kila mtu anakupiga chenga tu usipate jibu. Hata humu JF ukiuliza wangapi wameshawahi kuwa cheated, au ni wahanga wa cheating, server itazidiwa. Kila unakopita malalamiko ni hayohayo. Wengine wana ushahidi, wengine wanahisi tuu. Simu ya mwenzi, email, gari etc ni kama kambi ya kipindupindu. Watu wameweka password mpaka kwenye naniliu!
Swali ni: WHY?
 
75% ya wanandoa naowafahamu wana mahusiano ya mapenzi nje ya ndoa wanawake kwa waume .
Naomba kuuliza hivi ni jambo la lazima kwa wana ndoa kuwa na uhusiano wa kimapenzi nje ya ndoa?

Si lazima kuwa na mahusiano nje ya ndoa kabisa, kwani hata madhara yake yanajulikana wazi. Na kama unaweza kutulia bora utulie maana huko hakuna lolote zaidi ya hasara tu.

75% ya wanandoa naowafahamu wana mahusiano ya mapenzi nje ya ndoa wanawake kwa waume .
Naomba kuuliza hivi ni jambo la lazima kwa wana ndoa kuwa na uhusiano wa kimapenzi nje ya ndoa? Ni nini kinapelekea kuwepo kwa tabia hii.!!!!!!!

Inaelekea wewe unafahamiana zaidi na vicheche!
 
si lazima, mie ni mwana ndoa na sina uhusiano wowote na sidhani kama kuna kitu kimenipungukia kwenye ndoa yangu.
usiombee........ukijagundua utapata gonjwa la moyo.....omba........ Mungu sana......
 
Waswahili wanasema .........................tia maji! Mungu akuepushie!

mungu aniepushie Inshaallah πŸ™‚

anipe nguvu za kuepuka majaribu ya ulimwengu, na awape nguvu ya kuyaepuka wapendwa wote wa JF hapa. ....amen
 
75% ya wanandoa naowafahamu wana mahusiano ya mapenzi nje ya ndoa wanawake kwa waume .
Naomba kuuliza hivi ni jambo la lazima kwa wana ndoa kuwa na uhusiano wa kimapenzi nje ya ndoa? Ni nini kinapelekea kuwepo kwa tabia hii.!!!!!!!

It is likely kuwa mtaa unaoishi ni Mtaa wa wazinzi na wanaona kuwa na uhusiono nje ya ndoa ni fasheni. Mtaani kwetu mke mmoja mume mmoja.

Mahusiano nje ya ndoa yapo ila cha msing ni kuvumiliana ili kuondoa kasoro zilizopo baina ya wanandoa
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…