Walionunuliwa Magari Mekundu na Amatus Liyumba

Swali la msingi naamini ni hilo hapo juu!!!
Bila shaka hawawezi kujitokeza wengi maana wao si rasmi! kwahiyo kwasababu mbalambali hata ungekua ni wewe isingekua rahisi kwenda kusikiliza mashitaka lakini naamini wengi wao kama wapo watakua wanafuatilia kwa karibu! hata hivyo itategemea mahusiano yalivyokua kabla ya haya yote kutokea!

Zion G .! Unaona watu wenye upeo wa kutambua mambo hawa ! we unamuliza mtu Rais wa Tanzania anaitwa nani kisha anakupa jibu kwamba anaishi Kibaha...Unategemea nini kwa mtu wa jinsi hiyo ?![/QUOTE]
Eheeeeeeeeeee! sasa hizo quotation za nini? lakini bado najiuliza sielewi
mh hii nzito poa nashukuru!
 
Siku zote wabongo ni watu wa kuunga unga maneno, ni watu wa kuzushazusha vijihabari kila kukicha...

Ishu iko wazi, na ndani ya ishu kuna swali linalouliza je kuna ripoti gani ya daktari inayothibitisha Mzee Amatus ameathirika?
Msikimbie swali then acheni kupima kwa macho watanzania.
 
Marehemu Linda 'mwenyezi Mungu amrehemu na kumuepushia moto wa jehanam' alipofariki wabongo 1st mkathibitisha kuwa ni ngoma.

Na cha kusikitisha zaidi mkadai binti yule alishawahi kutembea na Baba yake yaani mzee Liyumba.

Sasa je hii ni heshima?
Je kuna mwenye ushahidi?
kuna wakati mnatakiwa mbadilike...
 
mwacheni kidume chetu cha mbegu!!!!tatizo lenu nini hata wakiorodheshwa haisadii too late
 
Zion G .! Unaona watu wenye upeo wa kutambua mambo hawa ! we unamuliza mtu Rais wa Tanzania anaitwa nani kisha anakupa jibu kwamba anaishi Kibaha...Unategemea nini kwa mtu wa jinsi hiyo ?!
Eheeeeeeeeeee! sasa hizo quotation za nini? lakini bado najiuliza sielewi
mh hii nzito poa nashukuru![/QUOTE]

lazima atakuwa kapitia chuo cha havard univ
 
TB unataka kuvunja ndoa za watu...yule bwana katika ndoa 20 za doa ameambukiza mume ama mke/...sasa hii kutajana ni vyema tuklaendelea kupiemiana
 
nani mwenye uhakika hana?
Wewe je umepima?hao wanawake walipimwa kabla
hawajaenda kwa liyumba?

Mkuu, mie niko full zaidi ya ujazo tena nilienda kupima last week Marie Stopes and Angaza...

Na si kweli kwamba 2me-parceive the way you think... (there's different btn parceiving and imaginating)

2ko pa1
 
Siku zote wabongo ni watu wa kuunga unga maneno, ni watu wa kuzushazusha vijihabari kila kukicha...

Ishu iko wazi, na ndani ya ishu kuna swali linalouliza je kuna ripoti gani ya daktari inayothibitisha Mzee Amatus ameathirika?
Msikimbie swali then acheni kupima kwa macho watanzania.

Mkuu NARUDIA TENA soma vizuri post yangu !!!!

Wewe ndio labda wajaribu kufikisha ujumbe kwamba Mheshimiwa ni Mgonjwa..Na copy maelezo ktk post yangu kisha uyafanyie kazi kama kichwa chako kizuri
:

Mr Liyumba kwa tetesi ambazo pia sina uhakika wa asilia mia nasikia alijihusisha katika vitendo vya kufanya ngono na baadhi ya dada zetu na kuwanunulia magari aina ya RAV 4 nyekundu.! Kama baadhi ya post zilizopita zilivyokuwa zikizungumzia .

Jambo hili nimelifikiria kiundani nikaja kujridhisha kwa majibu kwamba Mr. Liyumba kama binadamu wengine ana haki ya kufanya kile ambacho anaona kwake ni sawa na anao uhuru wa maisha yake na matumizi ya fedha alizo nazo kufanya kile aonacho yeye ni sawa pasipo kumdhuru au kuvunja sheria za nchi. Labda naweza kumhukumu tu endapo itakuja kugundulika kwamba aliyafanya hayo kwa makusudi akijijua kwamba yeye ni mwathirika au kwa kuwakomoa dada zetu.

Vingine sitoweza kumhukumu kwani wenye kufanya mapenzi na wanawake wengi na kuwahonga magari,fedha na hata nyumba na vitu vingine ni wengi miongoni mwetu.
 
Marehemu Linda 'mwenyezi Mungu amrehemu na kumuepushia moto wa jehanam' alipofariki wabongo 1st mkathibitisha kuwa ni ngoma.

Na cha kusikitisha zaidi mkadai binti yule alishawahi kutembea na Baba yake yaani mzee Liyumba.

Sasa je hii ni heshima?
Je kuna mwenye ushahidi?
kuna wakati mnatakiwa mbadilike...

Wewe ndio wa kwanza tunahitaji kuona mabadiriko yako!! wacha kujudge Kitabu kwa kutazama cover..!! Soma maelezo ya watu wacha kukurupuka kama mtoto wa darasa la kwanza !!!
 
Wewe ndio wa kwanza tunahitaji kuona mabadiriko yako!! wacha kujudge Kitabu kwa kutazama cover..!! Soma maelezo ya watu wacha kukurupuka kama mtoto wa darasa la kwanza !!!

Hebu soma post moja moja ktk thread hii kisha utapata jibu nini nimekiona na ndo maana najaribu kuwakemea kama mkubwa
 
Nahisi jf ina taarifa zote za hii nchi. Siku jambo likitokea unakuta thread kama hizi zina miaka 7 na upuuzi halafu unaakisi lile lililoltokea. Rip kamanda wa bot
 
Nasikia kuna demu wa mikocheni eti uligonga/
Nasikia liyumba naye aligonga/
Ila nakuamini mwanangu ni MTU wa kinga au ulichange_SUGU
 
Marehemu Linda 'mwenyezi Mungu amrehemu na kumuepushia moto wa jehanam' alipofariki wabongo 1st mkathibitisha kuwa ni ngoma.

Na cha kusikitisha zaidi mkadai binti yule alishawahi kutembea na Baba yake yaani mzee Liyumba.

Sasa je hii ni heshima?
Je kuna mwenye ushahidi?
kuna wakati mnatakiwa mbadilike...
Duuuuuh
 
Liyumba is my hero,
yeyote anaeweza fanikiwa kuwalamba
wanawake anaowataka is my hero,,,,
suala la kumshawishi mwanamke akuvulie chupi sio
jambo rahisi hivyo.wapo watu wana pesa na wanashindwa
duh
 
Back
Top Bottom