Walionunuliwa Magari Mekundu na Amatus Liyumba | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Walionunuliwa Magari Mekundu na Amatus Liyumba

Discussion in 'Habari na Hoja mchanganyiko' started by Tongue blister, Dec 5, 2009.

 1. T

  Tongue blister JF-Expert Member

  #1
  Dec 5, 2009
  Joined: Jun 19, 2009
  Messages: 361
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Ndugu zangu kwanza natanguliza samahani zangu kwa yule yeyote nitakae kwenda kumkwanza kwa njia moja au ingine.

  Mr. Liyumba ni mfanyakazi wa Benki kuu ya Tanzania BOT, kazi ambayo Labda kutokana mazingira yake ilimpa mwanya wa kuweza kujipatia kipato kwa njia zisizo halali, Mimi si husiki huko na siwezi kumhukumu kwa sababu sina hata ule uhakika wa kile kilichotendea hadi kumpelekea kufunguliwa mashtaka kwake kwa kuliingizia taifa hasara za mamilion ya shilingi. HAINIHUSU SANA HII.

  Mr Liyumba kwa tetesi ambazo pia sina uhakika wa asilia mia nasikia alijihusisha katika vitendo vya kufanya ngono na baadhi ya dada zetu na kuwanunulia magari aina ya RAV 4 nyekundu.! Kama baadhi ya post zilizopita zilivyokuwa zikizungumzia.

  Jambo hili nimelifikiria kiundani nikaja kujridhisha kwa majibu kwamba Mr. Liyumba kama binadamu wengine ana haki ya kufanya kile ambacho anaona kwake ni sawa na anao uhuru wa maisha yake na matumizi ya fedha alizo nazo kufanya kile aonacho yeye ni sawa pasipo kumdhuru au kuvunja sheria za nchi. Labda naweza kumhukumu tu endapo itakuja kugundulika kwamba aliyafanya hayo kwa makusudi akijijua kwamba yeye ni mwathirika au kwa kuwakomoa dada zetu.

  Vingine sitoweza kumhukumu kwani wenye kufanya mapenzi na wanawake wengi na kuwahonga magari,fedha na hata nyumba na vitu vingine ni wengi miongoni mwetu.

  Binadamu tumeumbwa na kutofautishwa na wanyama kwasababu tumepewa uwezo wa kutambua yaliyo mazuri na mabaya , tumepewa uwezo wa kufikiri mambo tofauti na wanyama wa polini.

  Mr Liyumba yupo mahabusu ..hupangiwa siku za kwenda kusikiliza mashitaka yake mahakamani.

  Je, dada zangu walionunuliwa RAV 4 nyekundu ni WANGAPI HUENDA KUSIKILIZA MASHITAKA YA MR LIYUMBA SIKU HIZO AMBAZO HUPANDISHWA KIZIMBANI?
   
 2. Absolute

  Absolute JF-Expert Member

  #2
  Dec 5, 2009
  Joined: Jan 19, 2007
  Messages: 335
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 0
  Ni mbio za vijiti na ukichunguza sana unaweza na demu wako yumo kwenye list, kwa kweli inatisha sana.

  Anyway, we hope 4the best.
   
 3. The Boss

  The Boss JF-Expert Member

  #3
  Dec 5, 2009
  Joined: Aug 18, 2009
  Messages: 37,826
  Likes Received: 22,467
  Trophy Points: 280
  Liyumba is my hero,
  yeyote anaeweza fanikiwa kuwalamba
  wanawake anaowataka is my hero,,,,
  suala la kumshawishi mwanamke akuvulie chupi sio
  jambo rahisi hivyo.wapo watu wana pesa na wanashindwa
   
 4. Absolute

  Absolute JF-Expert Member

  #4
  Dec 5, 2009
  Joined: Jan 19, 2007
  Messages: 335
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 0
  No comment ila chakuhofia tuu incase ni kweli yuko connected...
   
 5. The Boss

  The Boss JF-Expert Member

  #5
  Dec 5, 2009
  Joined: Aug 18, 2009
  Messages: 37,826
  Likes Received: 22,467
  Trophy Points: 280
  nani mwenye uhakika hana?
  Wewe je umepima?hao wanawake walipimwa kabla
  hawajaenda kwa liyumba?
   
 6. Mauza uza

  Mauza uza JF-Expert Member

  #6
  Dec 5, 2009
  Joined: Jul 24, 2008
  Messages: 2,060
  Likes Received: 766
  Trophy Points: 280
  Ur absolutely right........watu wanapenda sana kuwanyooshea wengine vidole,je wao wako salama?????wamepima au ni Liymba tu ndo anayeonekana???maswali ni mengi kuliko majibu...
   
 7. Sikonge

  Sikonge JF-Expert Member

  #7
  Dec 5, 2009
  Joined: Jan 19, 2008
  Messages: 11,503
  Likes Received: 539
  Trophy Points: 280
  Magic Johnson hadi leo ZIMA?

  Ndiyo kwanza juzijuzi kamzika Michael Jackson.

  Kuwa na MDUDU siyo kuwa na maana utakufa kesho au kufikiria kuwa atakufa kabla yako.

  Wengi walilia na kudhani kuwa Magic Johnson atakufa mapema ila tangu atangaze, wameshuhidia akija kubeba majeneza yao.

  [ame]http://www.youtube.com/watch?v=JlQcJAjYxaI[/ame]
   
 8. Jayfour_King

  Jayfour_King JF-Expert Member

  #8
  Dec 5, 2009
  Joined: Nov 15, 2009
  Messages: 1,142
  Likes Received: 9
  Trophy Points: 0
  Kinachotusumbua sio wivu hasa, ila ni kitu fulani ambacho kinakaribiana na wivu kwamba hata mwizi amefanikiwa nyumbani kwangu. Jamani duniani hakuna haki!

  Lakini tujipe moyo na tukumbuke kuna msemo wa kinyakyusa unasema "U BHUHIJI BHO BWANGALI" Yaani wizi ndio utajiri tusichukie. Kwani mwenye pesa ndiye yuko huru zaidi katida uchaguzi wa bidhaa sokoni. Inaumaeeeh!!
   
 9. m

  mzeekijana Member

  #9
  Dec 5, 2009
  Joined: Nov 4, 2008
  Messages: 6
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Tatizo ni nini? liumba kuwanunulia magari au kuwat..... mademu, wangapi? wanahonga mademu, kila mtu anahonga kadri ya uwezo wake kuna ambao wanahonga chipsi wanafunzi, wengine Bia, inategemea kipato chako. Jamani tuwache kuzungumzia majungu hapa maana kila mtu kati yetu ameshawahi kuhonga au kuhonga.
   
 10. G

  Ghati Makamba Member

  #10
  Dec 5, 2009
  Joined: Jun 29, 2009
  Messages: 37
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  UTAJILI, TAMAA NA ULIMBUKENI!!! Hakuna zaidi ya haya, na kwa ujumla wake ni njia ngumu tuliyoifanya rahisi kuelekea "SAFARI" isiyo na tafsiri sahihi. Tuwe wasikilizaji wazuri kwa yale tusiyoyaweza, tuwe watazamaji wema kwa yale yenye manufaa na tunayoyaweza tuyafanye kwa haki!!
   
 11. Jayfour_King

  Jayfour_King JF-Expert Member

  #11
  Dec 5, 2009
  Joined: Nov 15, 2009
  Messages: 1,142
  Likes Received: 9
  Trophy Points: 0
  Copy ya ile list ya mashemeji zetu kwa Liyumba nani anayo? au niitoe kwa kujikumbusha?
   
 12. TIMING

  TIMING JF-Expert Member

  #12
  Dec 5, 2009
  Joined: Apr 12, 2008
  Messages: 21,837
  Likes Received: 125
  Trophy Points: 160
  Ungekuwa wewe ungeenda?
  umepima?
  kama umepima unao?
  kama unao, dr. kasemaje?

  Kweli nyani halioni kundule!!!
   
 13. Semenya

  Semenya JF-Expert Member

  #13
  Dec 6, 2009
  Joined: Sep 5, 2009
  Messages: 572
  Likes Received: 27
  Trophy Points: 35
  hahahahahahaha
  leo nilikua menuna kwelikweli, na Liver wakafanya siku iwe mbaya, ila hapo pamefanya nipate usingizi. ngoja nizime comp hapa nimege then nilale.
   
 14. T

  Tongue blister JF-Expert Member

  #14
  Dec 6, 2009
  Joined: Jun 19, 2009
  Messages: 361
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0

  Hahaaaa!! Mkuu kwa hoja hii kama ningelikuwa mwanamke na kisha ningelikuwa na uhusiano na Liyumba ninge kwenda kusikiliza kwani yeye ni binadamu kama binadamu wengine..Haja tenda kosa la kumtenganisha na ubinadamu..!!

  Ila TONGUE BLISTER NI MWANAUME LIJALI..!! He is only an Aminal man!!!

  Swala la kupima halina maswali kwangu kwani sinatabia kama zako.

  Na sina VIRUS VYA UKIMWI na ushauri wa Nurse sio Dr. niendelee kuwa na mpenzi mmoja nikizidiwa sana na kutoka nje kwa binti mwingine nitumie KONDOMU..!


  Nyani halioni kundule ukimaanisha nini ? Mkuu nilidhani tupo wote kumbe wakati mwingine unaangukia kwenye ZEU SWEET..! Ilewa HOJA !! Wk end njema!!!!
   
 15. K

  Kadudu Member

  #15
  Dec 6, 2009
  Joined: Mar 22, 2008
  Messages: 71
  Likes Received: 2
  Trophy Points: 0
  ukishajua idadi then what next au unafikiri muathirika ni liyumba tu?
   
 16. TIMING

  TIMING JF-Expert Member

  #16
  Dec 6, 2009
  Joined: Apr 12, 2008
  Messages: 21,837
  Likes Received: 125
  Trophy Points: 160
  copied!!! sorry kama imeuma lakini sikuwa na nia hiyo!!
   
 17. Pape

  Pape JF-Expert Member

  #17
  Dec 7, 2009
  Joined: Dec 11, 2008
  Messages: 5,513
  Likes Received: 26
  Trophy Points: 0
  no comment!
   
 18. MwanajamiiOne

  MwanajamiiOne Platinum Member

  #18
  Dec 7, 2009
  Joined: Jul 24, 2008
  Messages: 10,478
  Likes Received: 82
  Trophy Points: 145
  I just dont believe this!!
   
 19. Liz Senior

  Liz Senior JF-Expert Member

  #19
  Dec 7, 2009
  Joined: Apr 19, 2007
  Messages: 485
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 33
  Kuwa mwanaume Rijali/Lijali haikutoi katika hatari ya kuambukizwa Tongue Blister. Usisahau mtandao wa ngono. Jisemee moyo wako hata huyu Mpenzi wako mmoja usimwite muaminifu mwache yeye aseme. Anaweza kuwa mwaminifu machoni pako kumbe pembeni kuwa Wanaume wengine Rijali wanamega. Ya watu tuwaachie wenyewe. Kama wanamtembelea au hawamtembelei wewe yanakuhusu vipi? Mikataba kama ilikwisha muda wake wewe umekuwa wakili wake kuulizia habari zao?
   
 20. Katavi

  Katavi Platinum Member

  #20
  Dec 7, 2009
  Joined: Aug 31, 2009
  Messages: 39,474
  Likes Received: 4,134
  Trophy Points: 280
  Itoe kama unayo
   
Loading...