Walionunua Tigo modems

Walionunua Tigo modems

franco15

JF-Expert Member
Joined
Nov 29, 2013
Posts
518
Reaction score
208
Nilinunua modem ya Tigo hivi karibuni. Hapo juzi ilikata ghafla na tangu hapo inakataa kuconnect, nimewauliza Tigo wanadai wapo kwenye marekebisho ya mitambo lakini naona siku zinakata tu hivyo wenye hizi modem naomba mniambie kama zenu zinaconnect.
 
nimenunua inapiga vyema ila nadhani mtandao una matatizo maana ukiconnect inaenda kisha inaacha mpaka udisconnect kisha uconnect tena. ila ukiweka line ya mtandao mwingine hakuna tatizo kama hilo
 
nimenunua inapiga vyema ila nadhani mtandao una matatizo maana ukiconnect inaenda kisha inaacha mpaka udisconnect kisha uconnect tena. ila ukiweka line ya mtandao mwingine hakuna tatizo kama hilo

Ahsante mkuu ngoja nijaribu mtandao mwingine.
 
Nunua airtel modem then unlock na uipachike hiyo line yako ya tigo _speed bomba kabisa.
 
Back
Top Bottom