MR. MORRIS T. J.
JF-Expert Member
- Apr 18, 2013
- 1,167
- 403
Kwanini Wapige Kura Kama Walijua Wote Walitakiwa Waseme Ndiyo?Neno La Hapana Kwanini Waliliweka?Waliwekewa Watu Gani?Et Mwanasheria Mkuu Hakuwemo Bungeni, Unajua Sababu Iliyomfanya Asiwemo?Katumia Uhuru Wake Sasa Kwanini Kumzonga? Kulikuwa Na Haja Gani Ya Kupiga Kura Sasa Kama Mtu Katumia Haki Yake Ya Msingi? Mimi Nawapinga Wote Waliomzomea Mwanasheria Mkuu. Tulisema Kuwa Na Wabunge Wa Std Seven Au Form 4 Felia Ni Majanga Makubwa!! Sidhani Kama Mwenye Digree Angefanya Hvy.