Waliomba kazi st. Augustine university july/august 2011

SAWEBOY

JF-Expert Member
Apr 6, 2011
241
172
Wakuu wana Jf,

Naomba kufahamishwa kwa mtu mwenye taarifa zozote zile kuhusu hizi nafasi za kazi zilizotangazwa SAUT, kulikuwa na nafasi nyingi tu lakini sijawahi kuona au kusikia watu kuitwa ktk interview zao, je utaratibu wao wa kuajiri watu upoje hasa - lecturers, assistant lecturer etc.

Mimi niliomba kazi kulingana na tangazo lao lakini hadi leo hii ni bila bila na hakuna mrejesho/feedback! so plse kama kuna mtu anajuahawa jamaa ajira zao zipoje basi naomba kujuzwa au kufahamishwa wakuu. Na kama ajira zao ni za kima-gumashi kama zile za UDOM basi naomba pia kufahamishwa ili nisipoteze muda wa kujipa matumaini.

Asanten wakuu.,

shukrani na nawatakia kazi njema!
 
0 Reactions
Reply
Top Bottom