steveculture
Member
- Nov 19, 2014
- 26
- 7
Nimeikumbuka shule yangu ya msingi Boma.
Mwalimu mkuu Lutambi.
Enzi za mihogo ya mzee juma. Ashkrimu ilikuwa senti 20.
Maji ya kunywa unakinga mikono bombani. Daftari likiisha unapeleka ofisini unapewa jipya. Mafagio tulikuwa tunaficha darini.