Waliomaliza "Mikumi Secondary" Tujuane Hapa

Waliomaliza "Mikumi Secondary" Tujuane Hapa

Mwinjilist mtume nabii

JF-Expert Member
Joined
Feb 21, 2015
Posts
2,437
Reaction score
1,100
Mimi Nimemaliza Mikumi Sec.School, Nawatafuta Pia Wengine Kuanzia Mwaka 2003,2004,2005,nk. Utasema Jina Lako La Shuleni, Mahali Ulipo Kwa Sasa,na Angalau Jina La Mwl Mmojawapo Kama Kweli Umemaliza Hapo
 
acha ujinga wewe...unadhani mikumi ni hiyo shule uliyosoma peke yake kuna mikumi secondary zaidi ya 10 bongo...sema specific unazungumzia mikumi ipi?!

#Zitto
 
Simba, tembo, nyani, kima ndio classmates wako
 
Vp na wewe ulimaliza pale maana wanafunzi wa mikumi wengi walikuwa vilaza sana vp wewe uliponaga kupata zero
 
Back
Top Bottom