Waliomaliza Form VI karibuni hapa

Tutor B

JF-Expert Member
Jun 11, 2011
9,025
6,582
Wadogo zangu habarini zenu;

Kama umemaliza F.VI na hujajua la kufanya jiungeni kwenye vikundi then nendeni mashambani mkalime, hakuna sehemu yenye mafanikio makubwa kama kwenye kilimo na ufugaji. Serikali ya TZ haina mpango mathubiti wa kuendeleza wananchi wake. Usipojijali mwenyewe usitegemee serikali ikujali.

Enzi za Mwl. mtu alikuwa akimaliza FVI tayari anapelekwa kwenye ajira
 
Back
Top Bottom