Sijaelewa....jina gani nililojiita? Mi hapo nlikua ni typing error lol
Aisee hapo komputa yangu imegoma kusoma hayo maandishi...Mawigi yabasaidia saba aiseee maaana mmmh
Aisee hapo komputa yangu imegoma kusoma hayo maandishi...
Khantwe = Kabichwa kadonyo!
Na wewe usitafsiri lugha za watu kwa kutumia lugha yako. Haimaanishi hivyo kwenye lugha yangu
Lete tafsiri yako tuione, isije ikafanana na.....!
Bibie FaizaFoxy naona una matatizo fulani, wewe siku zote hueleweki. Tambua kuwa Google is not everything, sasa uje ku google Charty kwa misingi ipi? Jitambue bibie unatuboa.
Wewe kama nnakuboa kuna kifungo cha ignore, ukiweka hicho kwenye jina langu hutoziona posts zangu, unangoja nini?
The number one used site in the internet unasema its "not everything"? una ufinyu wa uelewa.
Punguani wahed.
Ushamba Mzigo :.........band
jamani sio kila kitu unachogoogle kitakuwa sahh na kile unachokitaka/Ulichodhamiria/ulichokusudia,Mfano ukigoogle 1gb utaletewa Sd Card na sio Image ya yangu 1gb.
Mazoea kaaaaazi kweli kweli