Don Vito
JF-Expert Member
- Jul 15, 2018
- 1,343
- 2,120
Yeah, usisahau kitu yani hadi password uliyotumia.Andika barua ukieleza ulichokesea na marekebisho unayofanya.
Soma hiyo screenshot namba 11View attachment 823751
Yeah, usisahau kitu yani hadi password uliyotumia.Andika barua ukieleza ulichokesea na marekebisho unayofanya.
Soma hiyo screenshot namba 11View attachment 823751
Jman vip naweza kwenda loan board kbadlisha nlkosea namb ya fombsuxvjman ndo nmegndua mim
Ilitoka mwaka huu???!Kuna list ilitoka ya waliokosea
Mkuu hii list ni ya mwaka huuLIST_OF_APPLICANTS_TO_CORRECT_NECESSARY_INFORMATION.pdf
Andika barua ukieleza ulichokesea na marekebisho unayofanya.
Soma hiyo screenshot namba 11View attachment 823751

Haysa mambo myaangalie kwa umakiniJe, ulikosea namba yako ya kidato cha sita au cha nne?. Maombi tayari ushayaprint na kuyatuma?. Kama bado hujatuma utaratibu ni, utapaswa kuandika barua kwenda bodi ya mikopo,ukiomba kurekebishiwa, barua hiyo iambatanishwe na maombi yako ya mikopo, iwe pinned katika page ya mbele kabisa(ni vyema ikawa barua iliyochapwa).
Mbona kama ya mwaka jana hii mzeeLIST_OF_APPLICANTS_TO_CORRECT_NECESSARY_INFORMATION.pdf