Waliokosea maombi ya mkopo 2018/2019

Waliokosea maombi ya mkopo 2018/2019

PetersonBay

Member
Joined
Nov 26, 2016
Posts
69
Reaction score
15
brothers and siters wa JF, Kama mtu amekosea kitu katika mchakato wa kuomba mkopo wa elimu ya Juu kwa mwaka 2018/19, anawezaje kurekebisha! Msaada tafadhali kwa anayejua au aliekutana na tatizo la aina hii.
 
Umekosea nini haswa katika maombi hayo ndugu ?
 
namba ya mtihani ya F6
Je, ulikosea namba yako ya kidato cha sita au cha nne?. Maombi tayari ushayaprint na kuyatuma?. Kama bado hujatuma utaratibu ni, utapaswa kuandika barua kwenda bodi ya mikopo,ukiomba kurekebishiwa, barua hiyo iambatanishwe na maombi yako ya mikopo, iwe pinned katika page ya mbele kabisa(ni vyema ikawa barua iliyochapwa).
 
Wapigie simu, namba zao zipo kwenye tovuti yao www.heslb.go.tz Wata-respond very quickly, mwanangu alipata shida ya kutoweka birth certificate, nikawapigia wakafungua tukarekebisha
 
brothers and siters wa JF, Kama mtu amekosea kitu katika mchakato wa kuomba mkopo wa elimu ya Juu kwa mwaka 2018/19, anawezaje kurekebisha! Msaada tafadhali kwa anayejua au aliekutana na tatizo la aina hii.
Kaka
Majina bado hayajatoka hayo ni ya mwaka juzi
 
Je, ulikosea namba yako ya kidato cha sita au cha nne?. Maombi tayari ushayaprint na kuyatuma?. Kama bado hujatuma utaratibu ni, utapaswa kuandika barua kwenda bodi ya mikopo,ukiomba kurekebishiwa, barua hiyo iambatanishwe na maombi yako ya mikopo, iwe pinned katika page ya mbele kabisa(ni vyema ikawa barua iliyochapwa).
ni namba ya f6 na nimeshatuma kitambo sana, je kwa kesi hii tunafanyaje mkuu.
 
Andika barua ukieleza ulichokesea na marekebisho unayofanya.
Soma hiyo screenshot namba 11
Screenshot_20180713-112117.jpg
 
Back
Top Bottom