Walioko Tunduma tuchekiane

Walioko Tunduma tuchekiane

Igwe Kingdom

JF-Expert Member
Joined
Sep 11, 2013
Posts
324
Reaction score
603
Npo njiani naelekea Tunduma,walioko maeneo haya tupeane code.
Wapi chimbo la kitimoto na nyama choma
Bar nzuri nzuri yenye vivutio.

Dk 20 mbele nitakua apo
 
Madereva wa IT mkipata Laki tu mnasumbua kinoma

Wenzako huwa wanageuza mda huohuo kuwahi hakuna kulala Uyole we unataka umalize posho yote TDM
 
Npo njiani naelekea Tunduma,walioko maeneo haya tupeane code.
Wapi chimbo la kitimoto na nyama choma
Bar nzuri nzuri yenye vivutio.

Dk 20 mbele nitakua apo
Kama unakuja kupiga mishe tunduma tushirikishane mkuu
 
Back
Top Bottom