Waliojiondoa CUF waanzisha chama kipya ADC

Waliojiondoa CUF waanzisha chama kipya ADC

MAFILILI

JF-Expert Member
Joined
Apr 28, 2011
Posts
2,377
Reaction score
1,200
Lisemwalo lipo, Leo hii wafuasi waliotoka CUf wamewasilisha ombi la kusajili chama kipya kiitwacho ALLIANCE FOR DEMOCRATIC CHANGE kifupi ADC.

Source: Magic Radio
 
Safi sana tunamwombea mtoto akue salama.

Lisemwalo lipo, Leo hii wafuasi waliotoka CUf wamewasilisha ombi la kusajili chama kipya kiitwacho ALLIANCE FOR DEMOCRATIC CHANGE kifupi ADC.

Source: Magic Radio
 
Huu ****** wa kila mtu kuanzisha chama chake,imekuwa fasheni sasa ifike mahara msajili wa vyama vya siasa,awe anakataa uanzishwaji holela wa vyama,tutajikuta tuna utitiri wa vyama ambavyo havina tija kwa Taifa,ni kwa nini wasijiunge na vyama vingine?
 
Lisemwalo lipo, Leo hii wafuasi waliotoka CUf wamewasilisha ombi la kusajili chama kipya kiitwacho ALLIANCE FOR DEMOCRATIC CHANGE kifupi ADC.Source: Magic Radio
Ushauri wangu waiogope dhambi ya ubaguzi wa dini kabila ubara na uvisiwa.
 
Kwa jina hilo hakitapata popularity kwa wananchi.Gumu sana!
 
ALLIANCE FOR DEMOLITION CUF
1.JPG

12.jpg

small-IMG_6627.JPG
 
Bendera yao ina rangi nyekundu?
SORRY, NI BARA AU ZANZIBAR?
AU KUNA UDINI?
SIDHANI KAMA KUNA JIPYA HAPO.
 
Nafikiri ni wale wale tatizo ni kutaka madaraka. Na siyo kubadilisha sera.

HAKUNA JIPYA HAPO

MIZAMBWA
INANIUMA SANA!!!
 
Hv vyama sasa vimekua kama N.g.o.s watu wanatafuta kula tu,lakini at the end vitabaki kua pumba na mchele utabaki kua mchele tu!vyama ni c.c.m na c.d.m tu,cuf walikua vizuri ila wamejiua wenyewe!
 
Mwanzo mzuri, tunasubiri kusikia mengi zaidi.
 
Huu ****** wa kila mtu kuanzisha chama chake,imekuwa fasheni sasa ifike mahara msajili wa vyama vya siasa,awe anakataa uanzishwaji holela wa vyama,tutajikuta tuna utitiri wa vyama ambavyo havina tija kwa Taifa,ni kwa nini wasijiunge na vyama vingine?

Uanzishwaji "holela" wa vyama ni upi? Unatumia criteria gani kusema uanzishwaji wa chama kimoja ni holela na wa chama kingine si holela?
 
Huu ****** wa kila mtu kuanzisha chama chake,imekuwa fasheni sasa ifike mahara msajili wa vyama vya siasa,awe anakataa uanzishwaji holela wa vyama,tutajikuta tuna utitiri wa vyama ambavyo havina tija kwa Taifa,ni kwa nini wasijiunge na vyama vingine?
huko mbele wagombea binafsi wakiruhusiwa utasema hivyohivyo wazuiwe maana kutakuwa na utitiri wa wagombea binafsi? hii ndiyo demokrasia mkuu...!
 
Back
Top Bottom