Walioiuza CHADEMA mwaka 2015 sasa hivi ndio wanachukua hatamu huku wakijinadi hawanunuliki, Watanzania hawajasahau

Fisadi papa is back where he belongs, amesharudi kwa mafisadi wenzake.
 
Wakudadavuwa nini unaumia sana roho na uongozi wa Chadema usio na kitu zaidi ya mateso na karaha za polisi, rumande,mahakamani na jela?
Tumekupa vyote ambavyo kijana wa kike angetamani kuwa navyo lakini jicho kako la husuda liko Chadema na kila siku hukosi kuja na tuhuma.
Basi mama tuliza moyo wako na kibao hicho cha Lady Jide labda sumu moyoni itakuishia. Kama bado ni PM nikupatie kitu fulani lazima roho itatulia tuu
 
He is a Freeman.... Kuna majina ya kuwaita watoto aisee kumbe! Sio mtoto unamuita Jaffo, sijui Kangi ukikosea kidogo tu badala ya Jaffo unasema Jasho na huyo mwingine anaitwa Bangi!
Au unamuita sijui Boha, dengerua au kwa kiswahili chake lazima iwe balaa!
 
kama wananchi wangewasapoti wangetoka barabarani.... tatizo sasa nguvu ya umma mliiuza mwaka 2015
Hapo ndipo ulipaswa hata kumuombea kwa Mungu ampe maisha marefu Mbowe, watu wasingejengewa tabia ya ustaarabu unadhani mngekuwa salama na hizo VX kutundika bendera mabarabarani?
 
kama wananchi wangewasapoti wangetoka barabarani.... tatizo sasa nguvu ya umma mliiuza mwaka 2015
People's power haikuwa na nguvu mbele ya money power .Baada ya kupokea tu pesa ya Lowasa Chadema na akina Mbowe na akina Tundu List ghafla wakaacha kuimba people's power wakaanza kuimba wimbo mpya walioutunga ghafla baada ya kulamba pesa ule wa Lowasa mabadiliko,mabadiliko Lowasa .Chezea nguvu pesa chadema hakuna Cha people's power Wala Nini chadema Kuna wajasiliamali wa kisiasayaani political enterpreneurs akina Mbowe,Tundu Lisu ,Mdee,Mnyika,Msigwa nk Kwa political enterpreneurs Act Wazalendo Yuko Zitto Kabwe na CCM Lowasa.
 
Hawaaminiki hawa wahuni
 
Hakika
 
Watanzania na siasa za vyama,na ndiyo maana ccm itaendelea kuwepo madarakani kwa kipindi kirefu sana
Tunaambiwa ccm hawafanyi uchaguzi halali huwa miaka yote wanaiba kura sasa sijui Lowassa ndio angefanya ccm wasiibe kura au vp hata sielewi.
 
wanasema alikuwa na ''connections'' zote na alikuja na mtaalam wa kuiba kura.
 
wanasema alikuwa na ''connections'' zote na alikuja na mtaalam wa kuiba kura.
Sasa ikawaje tena hao wataalam wakaishia wapi? Sasa hivi anzungumziwa Lissu yani ndio hivyo hivyo tu hakika watanzania wanahitaji mwanasaikolojia maana hawako sawa
 
Huku siasani kuna upumbavu mwingi sana, watu wameziba masikio na pamba, wanasifu na kuabudu tu mda wote. Hawa wanaabudu CCM ya Yohana, wale wanaabudu CDM ya Freeman, hamna hata mmoja yupo constructive, hapa tunasifu na kuabudu tu...
 
Kwa hiyo wewe ukinunua kitu huwa huondoki nacho unaondoka na kukiacha?
 
Sasa ikawaje tena hao wataalam wakaishia wapi? Sasa hivi anzungumziwa Lissu yani ndio hivyo hivyo tu hakika watanzania wanahitaji mwanasaikolojia maana hawako sawa

Acha kujifanya hujui alichofanya January na Nape
 
Acha kujifanya hujui alichofanya January na Nape
Mimi ni nani nijue hadi niweze kujua walichofanya? Nachoelewa mie ni malalamiko ya wizi wa kura na vitu kama hivyo na hakujawahi kutatuliwa hayo malalamiko ila ajabu kila uchaguzi tunapewa matumaini ya kuwashinda ccm hali ya kuwa tunajua hakujatatuliwa mambo yenye kukwamisha kumtoa ccm,hivi hauoni kuwa watanzania hatupo sawa? Kuna watu ile hali ya kuilalamikiwa ccm imekuwa ni kama wanaipenda sasa wanaona raha ile kulalamika muda wote hakika kuna tatizo.
 
Nimalize tu kwa kusema kikundi hicho hapo juu hakiaminiki, kinanunulika na kwa sasa hawana uhalali kwa Watanzania.

Kwenye nchi nyingine mara tu baada ya kushindwa 2015 viongozi wote wa juu wa CDM walitakiwa kujiuzulu. Ndio demokrasia yenyewe. Sasa watu wanawaongoza kuanzia 2005, 2010, 2015 na kote wanashindwa na bado mnataka wawaongoze hadi 2060!?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…