Walioiuza CHADEMA mwaka 2015 sasa hivi ndio wanachukua hatamu huku wakijinadi hawanunuliki, Watanzania hawajasahau

He is a Freeman.... Kuna majina ya kuwaita watoto aisee kumbe! Sio mtoto unamuita Jaffo, sijui Kangi ukikosea kidogo tu badala ya Jaffo unasema Jasho na huyo mwingine anaitwa Bangi!
 
Hizi statement unazotoa ni sahihi kabisa na hii inaonyesha hao watu upo karibu nao.
Kuna rafiki yangu alipata kusema kuwa hakuna asiyepokea rushwa. Inategemea ni kiwango gani. Mwingine ikiwa kubwa sana anaikataa sababu imevuka matarajio yake. Mwingine ikiwa ndogo pia anaikataa sababu haijafikia lengo. We uta conclude kuwa jamaa hawataki rushwa.
 
Majungu hayawezi kumzuia Mbowe kuwa mwenyekiti
Tujifunze kutofautisha majungu na ukweli /uhalisia.

2015 Mbowe alifanya tukio la kipumbavu kuikabidhi chadema kwa fisadi papa.

Hasipokubali kutoka hadharani na kukiri udhaifu huo. Huo mzimu wa tamaa ya pesa utaendelea kumtafuna yeye na chama anachokiongoza.
 
Mamvi alisha wanunua DJ Mbowe na Wakili msomi uchwara Tundu Lisu kwa vipande vya fedha za kitanzania. Itakua jambo la kushangaza kuu ambia umma kua DJ na Lisu hawana bei ya kuwanunua. Lakini mimi ni nani niwa bishie Nyumbu wenye chama Chao kwa kudai DJ naLisu hawana bei?
Amakwa hakika chini ya jua vituko havitaisha.
 
Kinachonikera ni pesa yangu ya kodi kutumika kumlipa huyu CD.....
Mashavu kama mimba ya joroe...
 
Achieni uwanja huru wa siasa muone kama jiwe linakubalika mbowe anakubalika sana
Wengine wana hasira na mbowe ya kukosa fursa kama wakudadavua. Kwa sababu ya tamaa na papara, mfano Josephine mke wa Dr. Slaa. Zito kabwe na kukikundi kake
 
Kwa haya yanayoendelea chadema wanakosea sana

Walianza kwa kukosea kumchukua lowassa

Yaani wakakkubali michezo ya ccm kutengeneza wapinzani wao wenyewe

Upinzani mwingine unatengenezwa hivi sasa upinzani kutoka ACT... inasikitisha sana
Upinzani wa ccm au upinzani wa upinzani cdm
 
Hizo story za kijiweni tu. mbowe ndo mwenyekiti shupavu afrika mashariki na kati, kama hutaki kunywa sumu
 
Mwili uko ccm moyo uko CHADEMA
 
Watanzania asilimia themanini wanamuangalia Mbowe kama kama mkombozi wao
Halafu mnasema magufuli anakubalika aachie uwanja huru wa siasa aone atakavyopigwa chini asubuhi asubuhi.
Ukiwa serious kidogo bwana mdogo
 
Mkuu kuna kakikundi kanajidai kuikosoa chadema ukiwauliza mnakosea sera IPI? Au mnakosea itikadi IPI? Au mnakosoa nini kwenye katiba?? Hawana majibu,

Wanashambulia personality za watu tu. Hawana hoja zinazoeleweka, kama chadema wamebadili itikadi yao nisawa kukosolewa, au kama wana sera mbaya ruksa kukosolewa

Au kama katiba yao inakinzana na haki za binadamu au mila na desturi za watanzanis hapo ni sawa kuwakosoa,

Wengi wanaokosoa ukiwatoa wapumbavu wa lumumba ni wale waliokosa fursa wakati wa JK, wakajifanya wanaharakati wa mabadiliko, kuanzia 2005 mpaka 2015 walijifanya pro Chadema kumbe wanafiki tu ukiwanchunguza unagundua ni masadist ambao kwao aliyefanikiwa kiuchumi ni fisadi tu.

Wanamchukia lowasa si kwa sababu ya ufisadi ni kwa sababu ana akili ya kijasiliamali,

Hata mbowe anachukiwa kwa mitazamo yake ya kijasiliamali, ambayo ni sahihi kwa nyakati hizi,
Sisasa za kijasiliamali ndo habari ya wakati huu,

Kama sera ya chadema ni kuwachukia waliofanikiwa kiuchumi nitaacha kuwasapoti
 
Kwahiyo Mbowe ni mkombozi wako?
Kumbuka ccm inachukiwa sana sana na huku kulwzimisha ipendwe kwa mtutu wa bunduki ndiyo kunazidi kuwafanya watu wapandwe na ghadhabu

Mbowe kukataa kunuliwa na ccm kumefanya watu eamuamini na kumuona kuwa ndio mkombozi pekee aliyebaki Tanzania
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…