Erythrocyte
JF-Expert Member
- Nov 6, 2012
- 141,763
- 284,779
Tulishasema tangu mwanzo , hakuna kitu hapo , bandarini kwenye lile bomba la mafuta watu wanajipigia kama kawaida .Wanacheza sinema ya komedi
tehe tehe tehTulishasema tangu mwanzo , hakuna kitu hapo , bandarini kwenye lile bomba la mafuta watu wanajipigia kama kawaida .
Mkuu , Mungu ni mwema sana , wanaendelea kuumbuka .CCM yenyewe ndiyo jipu. Ni chama cha kilaghai sana hiki. Kazi yao ni kutafuta sifa majukwaani tu.
Siku zote tulishasema kwamba tatizo kubwa la nchi hii ni ccm , nadhani sasa wadau mmeanza kuelewa .Ni lin CCM mtaacha kuwaona watanzania kua ni watumwa wenu! I believe we will once be only slaves of God and not CCM
Noma sana !Dikteta uchwara katika utembo wake. Hapa majanga tu, kila anachogusa ni majanga tu.
MH BAK katika utukutu wake!Dikteta uchwara katika utembo wake. Hapa majanga tu, kila anachogusa ni majanga tu.
Heshima iwe pande zote , anayetaka kuheshimiwa ni vema naye akaheshimu wengine .MH BAK katika utukutu wake!
'Heshima' ni kitu cha bure na ni 'tunu' mojawapo ya 'utu' wa binadamu
Kisasi ni dalili ya kutokujiamini (woga)Heshima iwe pande zote , anayetaka kuheshimiwa ni vema naye akaheshimu wengine .