Walioitwa kazi OSHA

Walioitwa kazi OSHA

monakule

Member
Joined
Sep 29, 2012
Posts
87
Reaction score
23
Jamani mimi nimeitwa kazi osha lakini baada ya kuripoti tukaambiwa tusubiri watatupigia simu sasa mwezi umeisha bado kimya,kwa yeyote mwenye taarifa na hili tujuzane hapa jf nawaza labda kuna figisufigisu
 
niliwasiliana na Hr mmoja pale wanakamilisha mchakato may next week wanaweza kuanza kupiga simu
 
wadau samahani nipo nje ya mada kidogo, naomba kufahamu ofisi za OSHA hapa dar zilipo pia kufahamu kuhusu Course ya Safety management ngazi ya cheti ni Tsh ngapi?
 
mkuu nenda kinondoni hospital nyuma yake ndio ofisi zilipo pia kila kitu utaeleweshwa
 
wadau samahani nipo nje ya mada kidogo, naomba kufahamu ofisi za OSHA hapa dar zilipo pia kufahamu kuhusu Course ya Safety management ngazi ya cheti ni Tsh ngapi?

ofisi za OSHA ziko kinondon B,karbu na mahakama ya mwanzo kinondoni!
 
Mjumbe ninaamin ni sababu za kifedha labda maandaliz ya fedha ya kujikimu na vitu kama hivyo.mkuu kama una barua ya kuitwa ajirani usiwe na hofu,cha msingi kaa karbu na ofis hiyo kusud upate updates zao.
 
Back
Top Bottom