Doris fransis
Member
- Sep 21, 2021
- 20
- 4
Wale wote waliofanya usaili police
majina yashatoka nenda kacheki jina lako
majina yashatoka nenda kacheki jina lako
Wale wote waliofanya usaili police
majina yashatoka nenda kacheki jina lako
😂😂😂Kikubwa wapate kazi keki ya taifa ni kubwa haiwezi liwa na wasomi tuNdio hao Div 5 ?
Sijui lini ngoja tusubir aya ni Yale ya mwanzoAwamu ya pili ya wenye fani sijui lini wataitwa kwenye usahili?
Kwani mikoan walifanya USAHILI99.9% ya walioitwa ni related na Polisi na vigogo serikalini
Kabisa mkuu yale ya fani bado hata usahili haujafanyika ngoja tusubrSijui lini ngoja tusubir aya ni Yale ya mwanzo
Kwakweli isije ikawa ndo basi tenaKabisa mkuu yale ya fani bado hata usahili haujafanyika ngoja tusubr
Sio kweli kuna jamaa zangu wapo nimeona majina yao walimalza mafunzo ya Jkt tangu mwaka Jana wakarudi kitaa leo nimeona majina yao ni bahat tu mkuu99.9% ya walioitwa ni related na Polisi na vigogo serikalini
Usishangae 99.9% ya waliochaguliwa wako related na polisi na vigogo serikaliniWale wote waliofanya usaili police
majina yashatoka nenda kacheki jina lako
Sidhani maana polisi wamepewa nafasi nyingi za ajira lazima kakamilisheKwakweli isije ikawa ndo basi tena
Kila jambo na wakati wakeSio kweli kuna jamaa zangu wasipo nimesoma walimalza mafunzo ya Jkt tangu mwaka Jana wakarudi kitaa leo nimeona majina yao ni bahat tu mkuu
Basi tuombe munguSidhani maana polisi wamepewa nafasi nyingi za ajira lazima kakamilishe
Ushangae ili iweje wakati ndo uhalisia!?Usishangae 99.9% ya waliochaguliwa wako related na polisi na vigogo serikalini
sijui ila soon wataitwaAwamu ya pili ya wenye fani sijui lini wataitwa kwenye usahili?
Sio kweli kuna jamaa zangu wapo nimeona majina yao walimalza mafunzo ya Jkt tangu mwaka Jana wakarudi kitaa leo nimeona majina yao ni bahat tu mkuu
Hao wauza machungwa na matikiti maji wamekimbilia kuomba nafasi za kazi hukohuko polisiBahati kwa mshahara gani? Police wanazidiwa kipato na machinga wauza machungwa au matikiti maji.
Hao wauza machungwa na matikiti maji wamekimbilia kuomba nafasi za kazi hukohuko polisi
Hapo Kuna Watu Wa Banks Na ParediNdio hao Div 5 ?