Rutashubanyuma
JF-Expert Member
- Sep 24, 2010
- 219,470
- 911,174
IPTL imekuwa na mkataba wa kifisadi na Tanesco kwa kuiuzia Tanesco umeme kwa bei ya juu zaidi ya soko na kuifanya Tanesco iendeshwe kwa hasara kwa sababu tozo zake ziko chini ya bei ya umeme Tanesco walizozinunulia!
Tusiukwepe ukweli ya kuwa waliowaongezea IPTL mkataba kwa masharti yale yale ya kifisadi na la ajabu hadi leo waliowaongezea mkataba IPTL hawajachukuliwa hatua kwa makosa ya jinai ya kuuhujumu uchumi.
Baada ya kuwaongezea IPTL mkataba wa kuendelea kuifilisi Tanesco bila kuishirikisha EWURA na kuigeuza EWURA rubber stamp ni wazi waliingilia majukumu ya kisheria ya EWURA.
Bila kuwachukulia hatua wahusika hawa na EWURA kugoma kuwaongezea muda wa leseni IPTL hadi watakapokubali kuwauzia Tanesco umeme bei chini ya bei Tanesco inawauzia wateja wake na kufuta capacity charges ambazo sisi ni kati ya nchi chache sana zina mikataba na wawekezaji ya kipumbavu kama hii.
Tumbua tumbua majipu hewa huku tunalinda saratani ni utapeli wa kutisha wa kisiasa ambao wakati tu ndiyo utawaumbua wasanii hawa.
Kufukuzwa tu Chadema wanalalama ....wakifilisiwa si ndio watapayuka ....TUMECHOKA NA FUKUZA FUKUZA YA WATUMISHI WA SERIKALI AFU TUNAWAONA WANADUNDA MITAANI NA PESA WALIZOIBIA SERIKALI.WASHITAKIWE KWANZA NA KUFILISIWA PIA
Mkataba uliongezwa muda mrefu baada ya Lowassa kuacha uwaziri mkuu labda utufafanulie ashtakiwe kwa lipi?Lowasa huyo lazima ashitakiwe!
Hatuwe kuendelea kuchelea kutekeleza majukumu ya msingi kitaifa kisa watu wachache ndani ya vyama vya upinzani.Kufukuzwa tu Chadema wanalalama ....wakifilisiwa si ndio watapayuka ....
Lakini ni kiini macho kwani watumbua majipu hawataki kufukua makaburi kuona kilichozikwa ni nini hasa!Yes, Ni economic sabotage!
Nyinyi si mnaogopa tutashitakiwa?Lakini ni kiini macho kwani watumbua majipu hawataki kufukua makaburi kuona kilichozikwa ni nini hasa!
Mkataba uliongezwa muda mrefu baada ya Lowassa kuacha uwaziri mkuu labda utufafanulie ashtakiwe kwa lipi?
Hao waliowaongezea mkataba IPTL ni akina nani kama siyo baraza la mawaziri la JK na walifanya hivyo kwa manufaa ya nani?TUMECHOKA NA FUKUZA FUKUZA YA WATUMISHI WA SERIKALI AFU TUNAWAONA WANADUNDA MITAANI NA PESA WALIZOIBIA SERIKALI.WASHITAKIWE KWANZA NA KUFILISIWA PIA
Chadema ndilo baraza la mawaziri lililowaongezea mkataba IPTL?Kufukuzwa tu Chadema wanalalama ....wakifilisiwa si ndio watapayuka ....
Baraza la mawaziri lote la JK watujuze ni kwa masilahi gani walimuongezea IPTL mkataba?ss unaleta mada baada ya mtu kutumbuliwa? au hujui kama kashatumbuliwa?
zile mvi mpaka ziishe kbs ndo atabaki salama
Lissu ni Mjumbe wa baraza la mawaziri kuanzia lini hadi awatetee wezi?Lisu lazima awetetea wez hawa maana ndo zake
Ah ah Leo upinzani wamekuwa kikwazo mbona wakati mkiingia iyo mikataba bungeni kwa hati za dharula uku mkijivunia uwingi wenu upinzani hamkuwashirikisha???Hatuwe kuendelea kuchelea kutekeleza majukumu ya msingi kitaifa kisa watu wachache ndani ya vyama vya upinzani.
Ambalo sielewi ni kama wana mkataba ni lazima wana haki ya kupewa leseni? Na kama wameshindwa kupata leseni wanaweza kushitaki kwa kunyimwa? Naomba nijue kama IPTL kupata mkataba automatically wanakuwa na guaratee ya kupata leseni ya usalishaji umeme. Na mkatabq utakuwa ni kati ya TANESCO na IPTL na siyo kati ya serikali na IPTL. Naomba kufafanuliwa hapa.Lakini ni kiini macho kwani watumbua majipu hawataki kufukua makaburi kuona kilichozikwa ni nini hasa!
Aloahidi kutofukua makaburi ni JPM hapo upinzani unaingiaje?? Waloasisi hii mikataba wanajulikana na CCM msituone hatuna akili.Nyinyi si mnaogopa tutashitakiwa?
Ni maswali ambayo kamwe hawezi kuyajibu hata umpe karne nzimaAh ah Leo upinzani wamekuwa kikwazo mbona wakati mkiingia iyo mikataba bungeni kwa hati za dharula uku mkijivunia uwingi wenu upinzani hamkuwashirikisha???
Ilo lenu CCM jipangeni nalo. Msisingizie upinzani