Mzee wa Rula
JF-Expert Member
- Oct 6, 2010
- 8,169
- 3,360
Chako hicho kinatwa kiherehere, kwani ukisubiri ukajua atakuja nalo, ungevunjika guu, tuwaache polisi wafanye kazi yao, sisi tutakuwa na usemi tukishapata habaro kamili. au kuna unalolijua na unataka kutupotezea dira. ama umetumwa na wanaohusikana huo ujangili na uuaji wa ndugu zetu, ili utatie wasiwasi na mashaka na kuiharibu kesi.
May be ni yule Mkenya wa Kova
Kuingiza mabomu mawili yenye ukubwa wa ngumi huwa kunakua na zabuni?
Mulongo alisema kwa sasa Polisi iko katika hatua za mwisho za mahojiano na watuhumiwa hao, ambapo mbali na kutaka kufahamu waliowatuma na malengo yao, pia wanatarajia kupata taarifa za waliorusha mabomu hayo.
Malengo mengine kwa mujibu wa Mulongo ni kuwafahamu watu wote waliopewa zabuni ya kuingiza mabomu hayo, ili hatua za kisheria zifuate.
vichwa vyenye akili ya uongozi bwana magesa mulongo!
sitashangaa macho kumchuzi naye akatolea ufafanuzi hili jambo "mwenyekiti Cdm"
Mbona unatoa hoja kwa kujishuku kama unaoga nje?Taarifa zilizosomwa sasa hivi TBC ni kwamba wale wote waliolipua mabomu katika kanisa la Olasiti na mkutano wa Chadema na kuua watu na wengine wengi kujeruhiwa wote wamesha kamatwa na wako polisi kwa mahojiano zaidi
Sasa ngoja tusubiri kama watapatikana na hatia au laa au itakuwa sinema kama ya kamanda Kova na mateso ya Dr Ulimboka