Madela Wa- Madilu
JF-Expert Member
- Mar 24, 2007
- 3,063
- 744
There are currently 444 users browsing this thread. (55 members and 389 guests)
Taarifa kutoka jijini Arusha zinasema kuwa jeshi la polisi limefanikiwa kuwakamata watu walioingiza mabomu yaliolipuliwa ktk kanisa catholic olasiti na kwenye mkutano wa chadema ambapo watu kadhaa wakifariki na wengine kujeruhiwa vibaya Kwa mujibu wa mkuu wa mkoa wa Arusha bwana Magesa Mulongo.
Mulongo amesema wako kwenye mahojiano ya mwisho na kila kitu kitakuwa hatharani muda si mrefu...
Breaking news (E.A.RADIO)
Kama wako kwenye mahojiano ya mwisho kulikuwa hakuna haja ya . kutumbia. Angesubiri wamalize mazungumzo yao then atuambie kitu kamili kuliko kuleta saisa kwenye upelelezi. Watu wengine bana...
Habari ni nzito lakini haina details zinazotarajiwa na watu wengi..., na tena habari yenyewe imevuta watu wengi bila kukidhi haja ya wenye kujua UNYAMA HUU UTAISHA LINI... Tunajiulize mabomu yalipigwa na CCM au polisi?.. Kwakuwa magaidi wasingeweza kupiga mkutano wa chama cha upinzani wakaacha kinachotawala.Unamaanisha nini hapo!?
Nadhani wanatakaa tu waturudishe kwenye ile sinema ya video ya CDM. Nayo hiyo ni karata bado kwa CCM.
Kama wako kwenye mahojiano ya mwisho kulikuwa hakuna haja ya . kutumbia. Angesubiri wamalize mazungumzo yao then atuambie kitu kamili kuliko kuleta saisa kwenye upelelezi. Watu wengine bana...
Mulongo ndo IGP au RPC, Wateule wengine bwana, in JANGA LA KIATAIFA!