Waliofungua kesi kupinga mswada hawakusoma hizi sheria za Vyama za Nchi nyingine

Mpaka leo huyu ndugai hajawahi kumjulia hali mbunge mwenzake! Tofautisha kupigwa risasi 38 na kuugua. CCTV camera kuondolewa etc!
Fuateni utaratibu,pale hospitali ya Dodoma alitibiwa na madaktari wa serikali,mkakataa asipelekwe Muhimbili mkihadaa watanzania kuwa Kenyatta atamlinda.Msipofuata taratibu mtapigika tuu
 
Naona unatoa mawazo ya kuathiri Utendaji wa mahakama kutenda haki
Unaweza kushitakiwa mkuu kwa kujaribu kuinflunce mahakama kutoa maamuzi
Iache mahakama ifanye haki yake ya kulinda uhuru na Demokrasia ya Wananchi ambavyo ni haki zao za msingi kwa mujibu wa sheria
Si huwa mnasema Mahakama si huru? Vipi leo muiachie?
 
Fuateni utaratibu,pale hospitali ya Dodoma alitibiwa na madaktari wa serikali,mkakataa asipelekwe Muhimbili mkihadaa watanzania kuwa Kenyatta atamlinda.Msipofuata taratibu mtapigika tuu
icc inamsubiri, MKIRU, Coco beach etc al are documented, the offing is in the pipeline!
 
Nimeamua kusoma Sheria za Vyama vya Siasa za nchi nyingine ili nijiridhishe kama haya mambo sisi Tanzani ndio wa kwanza,

Nimeona kwamba Tanzania sio wa kwanza.

Ukiangali Kenya ni kama sisi tumecopy na Kupest. Na wenzetu ndio mfano wa kuiga.

South Africa kuna Sheria na Pesa na Misaada tu kwenye vyama vya siasa.

Nk.
Jionee

Political Parties Act za nchi mbalimbali

Kenya
https://www.iebc.or.ke/uploads/resources/n7k15EbFt4.pdf

UK
Political Parties and Elections Act 2009 Political Parties and Elections Act 2009

South Africa
http://www.elections.org.za/content...Funding-of-Represented-Political-Parties-Act/

India
http://shodhganga.inflibnet.ac.in/bitstream/10603/93734/11/11_chapter 5.pdf

Sweden
https://www.finlex.fi/fi/laki/kaannokset/1969/en19690010_19920653.pdf

Ninaamini Mahakama itatenda haki. Bunge limalize kazi lililoanza.

Mungu Ibariki Tanzania.
Hamia huko. Kama hapa unapata tabu.
 
Nia ya serikali inayoongozwa na ccm ni kuua vyama vya siasa vile vyenye upinzani wa kweli sio vile vinavyowaunga mkono.
Wale mnaosema vyama vitakufa, sio vyama vyote,walengwa ni CHADEMA na CUF-CUF-Maalim Seif tu, hivyo vingine vitaendelea kuwepo hata vikiambiwa viwe chini ya usimamizi wa ccm vitakubali.
 
A
Nimeamua kusoma Sheria za Vyama vya Siasa za nchi nyingine ili nijiridhishe kama haya mambo sisi Tanzani ndio wa kwanza,

Nimeona kwamba Tanzania sio wa kwanza.

Ukiangali Kenya ni kama sisi tumecopy na Kupest. Na wenzetu ndio mfano wa kuiga.

South Africa kuna Sheria na Pesa na Misaada tu kwenye vyama vya siasa.

Nk.
Jionee

Political Parties Act za nchi mbalimbali

Kenya
https://www.iebc.or.ke/uploads/resources/n7k15EbFt4.pdf

UK
Political Parties and Elections Act 2009 Political Parties and Elections Act 2009

South Africa
http://www.elections.org.za/content...Funding-of-Represented-Political-Parties-Act/

India
http://shodhganga.inflibnet.ac.in/bitstream/10603/93734/11/11_chapter 5.pdf

Sweden
https://www.finlex.fi/fi/laki/kaannokset/1969/en19690010_19920653.pdf

Ninaamini Mahakama itatenda haki. Bunge limalize kazi lililoanza.

Mungu Ibariki Tanzania.
Acha upuuzi wewe.
 
Mkuu hiyo kesi wameshashindwa tayari.
Leo upo huku? Mmesharuhusiwa kuandamana kwa ajili ya uraia wa Zitto?
Narudi kwenye hoja na kukuambia wewe katibu wa uvccm kuwa mahakama siyo ccm na haitendi na kuamua kwa kukurupuka bali hujiridhisha kwa ushahidi na utetesi unaotolewa na washitaki na washtakiwa! Usipange hukumu as if ni kikao cha chama! Kaandae maandamano ya kupinga hukumu na uraia wa Zitto kana kwamba nawe ni raia ilihali ni mrundi! Pathetic!
 
Mkishindwa mtarudi kusema mahakama zinafuata maagizo toka juu. Ngoja tusubiri kifuatacho...!!
 
Kwani kuna uongo katika hilo? Hoja yako ya mwanzo inathibitisha na ndio maana uliconclude kuwa watashindwa bila kuonyesha ninyi mtashidaje na wao watashindwaje! Maagizo kutoka juu siyo?
 
Back
Top Bottom