Waliofungua kesi kupinga mswada hawakusoma hizi sheria za Vyama za Nchi nyingine

Wazo Kuu

Senior Member
Oct 21, 2018
114
293
Nimeamua kusoma Sheria za Vyama vya Siasa za nchi nyingine ili nijiridhishe kama haya mambo sisi Tanzani ndio wa kwanza,

Nimeona kwamba Tanzania sio wa kwanza.

Ukiangali Kenya, South Africa kuna Sheria na Pesa na Misaada tu kwenye vyama vya siasa.

Nk.
Jionee

Political Parties Act za nchi mbalimbali

Kenya
https://www.iebc.or.ke/uploads/resources/n7k15EbFt4.pdf

UK
Political Parties and Elections Act 2009 https://www.legislation.gov.uk/ukpga/2009/12/contents

South Africa
http://www.elections.org.za/content...Funding-of-Represented-Political-Parties-Act/

India
http://shodhganga.inflibnet.ac.in/bitstream/10603/93734/11/11_chapter 5.pdf

Sweden
https://www.finlex.fi/fi/laki/kaannokset/1969/en19690010_19920653.pdf

Ninaamini Mahakama itatenda haki. Bunge limalize kazi lililoanza.

Mungu Ibariki Tanzania.
 
Nimeamua kusoma Sheria za Vyama vya Siasa za nchi nyingine ili nijiridhishe kama haya mambo sisi Tanzani ndio wa kwanza,

Nimeona kwamba Tanzania sio wa kwanza.

Ukiangali Kenya ni kama sisi tumecopy na Kupest. Na wenzetu ndio mfano wa kuiga.

South Africa kuna Sheria na Pesa na Misaada tu kwenye vyama vya siasa.

Nk.
Jionee

Political Parties Act za nchi mbalimbali

Kenya
https://www.iebc.or.ke/uploads/resources/n7k15EbFt4.pdf

UK
Political Parties and Elections Act 2009 Political Parties and Elections Act 2009

kama mmeiga sheria za nchi nyingine igeni na katiba ya kenya katiba bora Africa mashariki

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Nimeamua kusoma Sheria za Vyama vya Siasa za nchi nyingine ili nijiridhishe kama haya mambo sisi Tanzani ndio wa kwanza,

Nimeona kwamba Tanzania sio wa kwanza.

Ukiangali Kenya ni kama sisi tumecopy na Kupest. Na wenzetu ndio mfano wa kuiga.

South Africa kuna Sheria na Pesa na Misaada tu kwenye vyama vya siasa.

Nk.
Jionee

Political Parties Act za nchi mbalimbali

Kenya
https://www.iebc.or.ke/uploads/resources/n7k15EbFt4.pdf

UK
Political Parties and Elections Act 2009 Political Parties and Elections Act 2009

South Africa
http://www.elections.org.za/content...Funding-of-Represented-Political-Parties-Act/

India
http://shodhganga.inflibnet.ac.in/bitstream/10603/93734/11/11_chapter 5.pdf

Sweden
https://www.finlex.fi/fi/laki/kaannokset/1969/en19690010_19920653.pdf

Ninaamini Mahakama itatenda haki. Bunge limalize kazi lililoanza.

Mungu Ibariki Tanzania.
Mkuu hiyo kesi wameshashindwa tayari.
 
Amekariri
Kila Mzungu Ni Padre
Wengine Walikuwa Wapelelezi
Hiyo Miswada Ya Huko Mbele Ni Ya Hovyo Kabisa
 
Mleta Mara KWA mini wasingeiga na katiba?vipi unsonaje wangeiga na mfumo mzima wa uchaguzi?wangeiga na kuwajibika KWA viongozi wa kiserikali wawapo na kashfa.Walichoiga hiki hawajaiga KWA maslahi ya nchi,wameiga KWA maslahi ya lichama fulani

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Nimeamua kusoma Sheria za Vyama vya Siasa za nchi nyingine ili nijiridhishe kama haya mambo sisi Tanzani ndio wa kwanza,

Nimeona kwamba Tanzania sio wa kwanza.

Ukiangali Kenya ni kama sisi tumecopy na Kupest. Na wenzetu ndio mfano wa kuiga.

South Africa kuna Sheria na Pesa na Misaada tu kwenye vyama vya siasa.

Nk.
Jionee

Political Parties Act za nchi mbalimbali

Kenya
https://www.iebc.or.ke/uploads/resources/n7k15EbFt4.pdf

UK
Political Parties and Elections Act 2009 Political Parties and Elections Act 2009

South Africa
http://www.elections.org.za/content...Funding-of-Represented-Political-Parties-Act/

India
http://shodhganga.inflibnet.ac.in/bitstream/10603/93734/11/11_chapter 5.pdf

Sweden
https://www.finlex.fi/fi/laki/kaannokset/1969/en19690010_19920653.pdf

Ninaamini Mahakama itatenda haki. Bunge limalize kazi lililoanza.

Mungu Ibariki Tanzania.
UK, Sweden pia wazungu. Mpumbavu ukimtwanga na ngano kinuni,ngano itaiva lakini upumbavu hautomtoka. Ninyi si mmekataa kuiga kwa wazungu Bali wazungu waige kwetu!!!? Duuu! Watawala bhana!!!!!

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Nimeamua kusoma Sheria za Vyama vya Siasa za nchi nyingine ili nijiridhishe kama haya mambo sisi Tanzani ndio wa kwanza,

Nimeona kwamba Tanzania sio wa kwanza.

Ukiangali Kenya ni kama sisi tumecopy na Kupest. Na wenzetu ndio mfano wa kuiga.

South Africa kuna Sheria na Pesa na Misaada tu kwenye vyama vya siasa.

Nk.
Jionee

Political Parties Act za nchi mbalimbali

Kenya
https://www.iebc.or.ke/uploads/resources/n7k15EbFt4.pdf

UK
Political Parties and Elections Act 2009 Political Parties and Elections Act 2009

South Africa
http://www.elections.org.za/content...Funding-of-Represented-Political-Parties-Act/

India
http://shodhganga.inflibnet.ac.in/bitstream/10603/93734/11/11_chapter 5.pdf

Sweden
https://www.finlex.fi/fi/laki/kaannokset/1969/en19690010_19920653.pdf

Ninaamini Mahakama itatenda haki. Bunge limalize kazi lililoanza.

Mungu Ibariki Tanzania.
Hata kwenye kikokotoo watu walisifia sana kuwa ndo mkombozi kwa wasitaafu.
Lakini baada ya bosi wenu kuisitisha hiyo sheria wote mmerudi kuandaa maandamano ya kumpongeza.
Cha kusikitisha ni kuwa bado hamjajijua kuwa hamna akili yaani mna akili za kushikiwa.
Endeleeni hivyo hivyo tu.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Nimeamua kusoma Sheria za Vyama vya Siasa za nchi nyingine ili nijiridhishe kama haya mambo sisi Tanzani ndio wa kwanza,

Nimeona kwamba Tanzania sio wa kwanza.

Ukiangali Kenya ni kama sisi tumecopy na Kupest. Na wenzetu ndio mfano wa kuiga.

South Africa kuna Sheria na Pesa na Misaada tu kwenye vyama vya siasa.

Nk.
Jionee

Political Parties Act za nchi mbalimbali

Kenya
https://www.iebc.or.ke/uploads/resources/n7k15EbFt4.pdf

UK
Political Parties and Elections Act 2009 Political Parties and Elections Act 2009

South Africa
http://www.elections.org.za/content...Funding-of-Represented-Political-Parties-Act/

India
http://shodhganga.inflibnet.ac.in/bitstream/10603/93734/11/11_chapter 5.pdf

Sweden
https://www.finlex.fi/fi/laki/kaannokset/1969/en19690010_19920653.pdf

Ninaamini Mahakama itatenda haki. Bunge limalize kazi lililoanza.

Mungu Ibariki Tanzania.
Achana na acts za watu, UK hakuna mbunge aliyepigwa risasi bunge likakataa kumtibu, serikali ikakataa kumtibu, serikali wakakataza watu kumwombea , serikali ikakataza kuvaa t shirt zake... usilinganishe UK na TZ! Sheria hii ikipita vyama vya upinzani vinakufa.
 
hakuna mbunge atakayeugua UK akalazimishwa kutibiwa urusi.Bado unakunywa viroba?
 
Achana na acts za watu, UK hakuna mbunge aliyepigwa risasi bunge likakataa kumtibu, serikali ikakataa kumtibu, serikali wakakataza watu kumwombea , serikali ikakataza kuvaa t shirt zake... usilinganishe UK na TZ! Sheria hii ikipita vyama vya upinzani vinakufa.
Ukiacha wanaoviongoza na wabunge wake nini msaada wa hivi vyama kwa wananchi maskini wavijijini

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Achana na acts za watu, UK hakuna mbunge aliyepigwa risasi bunge likakataa kumtibu, serikali ikakataa kumtibu, serikali wakakataza watu kumwombea , serikali ikakataza kuvaa t shirt zake... usilinganishe UK na TZ! Sheria hii ikipita vyama vya upinzani vinakufa.

hapo sasa
 
Sheria ya vyama inalenga kudhoofisha kama sio kuua vyama vya upinzani baada ya matarajio ya kwamba hadi leo vingekuwa vimekufa kugonga mwamba.

Huwezi ukamuweka msajili wa vyama ambaye ndio 'Regulator' eti awe juu ya sheria hii ni ushahidi wa dhahiri kuwa kuna hila hii serikali inafanya hasa baada ya kuona hawawezi kukidhi matarajio ya wananchi kiutendaji. Lkn hakuna hila inayofaulu siku zote, hata hii itafeli tu. Tuko hapa.
 
2 Reactions
Reply
Back
Top Bottom