navyojua mimi arusha yote CCM imezikwa rasmi,Kilimanjaro,mbeya,morogoro,sinyanga kanda ya ziwa yote,na baada ya siku chache mtaona wengine wengi wakifuatana naye
navyojua mimi arusha yote CCM imezikwa rasmi,Kilimanjaro,mbeya,morogoro,sinyanga kanda ya ziwa yote,na baada ya siku chache mtaona wengine wengi wakifuatana naye
Huo ni ufahamu wako, siyo lazima uwe sahihi. Mwanafunzi akifanya mtihani huandika majibu anayojua na kuamini ndiyo sahihi, mwalimu akisahihisha mwingine humpa A, mwingine B na mwingine F.
Mwalimu wa kweli atakayetujulisha usahihi ni matokeo ya Uchaguzi Mkuu 2015, Watanzania walio wengi watafanya maamuzi ndipo tutakapopata majibu sahihi.