Yatakuwa mafuriko wakuu, tuvute subira tu......CCM hawataamini kitakachotokea.
Wema Sepetu, Shilole kiuno, Wastara na wengineo wengi waliopigwa chini kama yeye
Mkewe slaa
75 ya wabunge wa ccm walikuwa wanamuunga mkono enl so tutegemee wengine.
bashir awale Md wa zamani wa stanbic Bank
Hivi kumbe huyu jamaa ni mfuasi wa Lowassa?
Halafu nilisikia alikimbizwaga pale Stanbic kutokana na ile ishu ya Escrow kwa sababu kuna account moja nzito inasemekana ipo pale ya naniliu.....
navyojua mimi arusha yote CCM imezikwa rasmi,Kilimanjaro,mbeya,morogoro,sinyanga kanda ya ziwa yote,na baada ya siku chache mtaona wengine wengi wakifuatana naye
Mwaka kesho utaanza vizuri sana
navyojua mimi arusha yote CCM imezikwa rasmi,Kilimanjaro,mbeya,morogoro,sinyanga kanda ya ziwa yote,na baada ya siku chache mtaona wengine wengi wakifuatana naye