Waliofuatana na Lowassa CHADEMA

Namtakia kila la kheri katika mchakato huu kuelekea magogoni na utumishi uliotukuka.
 
Magufuli kimyaa...kama kanyeshewa na mvua. 😂😂😂
 

Umesema Kweli Hawa Wapare Wanatuangusha. Mgera Soni
 
Yaaniii wanaboaje serikali ya CCM. Hapa nane nane area six Morogoro. Wanatupa umeme saa 7 usiku mpaka 12 asubuhi. Maji wanatupa Mara 2 kwa mwezi bili ikija not less than tsh 27000/- . Barabara ya kichangani nanenane makorongo yameharibu daladala mpaka daladala zinapungua kila siku. (Hawa CCM nuksi jamani Ukawa/Chadema fanyeni vitu makini tuokoke na utumwa huu.)
 
Umesema Kweli Hawa Wapare Wanatuangusha. Mgera Soni

Ni kweli ila hakuna namna nyingine, wamezoea shida zao na hawaelewi hata wakinyonywa..... wananikera mpaka basi yani......wamewekewa Lami toka same kwenda Mkomazi hata miaka mitatu haijaisha ina mashimo na wanaona ni sawa.

wagweno wanatukanwa na maghembe eti wanaume sijui saba wa ugweno ni sawa na binti mmoja wa usangi ila wao wanaipenda ccm hawataki iacha na kutukanwa kwao.

venemanya venye.
 

Hiyo ndio serikali ya ma ccm
 
Hao wanaohamia wasitegemee kupata uongozi wowote Ukawa. Waje kusaidia kupiga kampeni, labda ukuu wa wilaya na mkoa wanaweza kuupata.

Mkuu kwani ile sera ya majimbo haipo tena?
 

Mkuu nawe tunakuomba uwahimize marafiki na familia na ikibidi hata ukoo waipigie kura cdm,na ukawa kwa ujumla
 
Viongozi wetu! acha zako viongozi wa fuata upepo wasio jitambua hapo sawa uniambie DJ mm awekiongozi wangu du!

Nakuhakikishia kuwa mwaka huu lazima mtaongozwa na cdm,ukawa!labda muende kwa jirani zenu burundi
 
Hata UKAWA wakimpitisha CHENGE kuwa mgombania urais, tuko nyuma yao ilimradi atuhakikishie CCM wanang'oka October....

Peoplesssssssssssssssssss

Powerrrrrrrrrrrrrrrrrr
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…