Philipo D. Ruzige
JF-Expert Member
- Sep 25, 2015
- 9,428
- 27,138
Kama ni kweli , hii ni aibu kubwa aisee
Najaribu kuwaza tu. Kama gazeti lina wahariri n.k.Nko siti ya mbeleee..
Gazeti la Shigongo hiloNajaribu kuwaza tu. Kama gazeti lina wahariri n.k.
Mpaka linafika sokoni na utumbo kama huo. Basi ni s**hole nyuzipepa
Lazima itakuwa gazeti la serikali hilo.Kama ni kweli , hii ni aibu kubwa aiseeView attachment 879582
Mzee naona umekurupuka ku-reply mpaka unachapia.Sasa hapo tatizo liko wapi, umeisoma hiyo habari au umekupuka kuposti tu
Mi naona mwandisi ametumia wimbo wa Matonya kufikisha ujumbe, sasa tatizo liko wapiMzee naona umekurupuka ku-reply mpaka unachapia.