R100 JF-Expert Member Joined Sep 11, 2014 Posts 337 Reaction score 81 Nov 26, 2016 #1 Naomba mnisaidie kwa hili je waliofanya transfer mkopo wao wanaweza wakaupata baada ya mda gani na je baada ya kuhakikiwa na TCU tutajuaje?
Naomba mnisaidie kwa hili je waliofanya transfer mkopo wao wanaweza wakaupata baada ya mda gani na je baada ya kuhakikiwa na TCU tutajuaje?
B Barbosa Member Joined Jun 23, 2016 Posts 42 Reaction score 22 Dec 20, 2016 #2 dah mwenyewe nliitaji majibu ya swali kam ili nadhani wazoefu na wanaofaam kuusiana na ili watatoa majibu mazuri
dah mwenyewe nliitaji majibu ya swali kam ili nadhani wazoefu na wanaofaam kuusiana na ili watatoa majibu mazuri