R100 JF-Expert Member Sep 11, 2014 337 81 Nov 26, 2016 #1 Naomba mnisaidie kwa hili je waliofanya transfer mkopo wao wanaweza wakaupata baada ya mda gani na je baada ya kuhakikiwa na TCU tutajuaje?
Naomba mnisaidie kwa hili je waliofanya transfer mkopo wao wanaweza wakaupata baada ya mda gani na je baada ya kuhakikiwa na TCU tutajuaje?
B Barbosa Member Jun 23, 2016 42 22 Dec 20, 2016 #2 dah mwenyewe nliitaji majibu ya swali kam ili nadhani wazoefu na wanaofaam kuusiana na ili watatoa majibu mazuri
dah mwenyewe nliitaji majibu ya swali kam ili nadhani wazoefu na wanaofaam kuusiana na ili watatoa majibu mazuri