Waliofanya jaribio dhidi ya yake hawatapendwezwa awe huru.

Waliofanya jaribio dhidi ya yake hawatapendwezwa awe huru.

Asingeogopwa angekuwa huru kama Kigaila na Yericko na kina Zitto aachiwe akajihangkie huko mitaani hana madhara huyo
mkiuka sheria aachiwe huru kivipi kwa mfano gentleman?

hata ujifanye mwendawazimu wa aina gani utaswekwa ndraaani bila huruma wala aibu ili utie adabu 🐒
 
Hakuna sheria kimsingi aloikiuka huyo yupo hapo ili wanasiasa wenzake wapumue
Gentleman,
kipi kina msotesha korokoroni mpaka anawahangaisha na kuwaaibisha akina heche akina myika, brenda na amani kizimbani?

watu wa watu wanatetemeka hata hawajui wanawezaje kumnusuru mwenyekiti wao kwenye kitanzi alichojipiga mwenyewe kwa ujinga wake binafsi 🐒
 
nonsense,
hayupo wa kumuogopa kibaraka useless wa mabwenyenye ya magharibi kama huyo 🐒
Sasa akili ndogo... Hivi kweli lissu atakua kibaraka wa mabeberu au nyie? Nyie ndio mnatembeza bakuli kila eneo kwa mabeberu. Angalia project nyingi mmeomba msaada kwa mabeberu!! Ukiwa 🍏 ni lazima akili irudi on that bums?
 
Sasa akili ndogo... Hivi kweli lissu atakua kibaraka wa mabeberu au nyie? Nyie ndio mnatembeza bakuli kila eneo kwa mabeberu. Angalia project nyingi mmeomba msaada kwa mabeberu!! Ukiwa 🍏 ni lazima akili irudi on that bums?
akili kubwa tuliza mihemko useless jukwaani basi na uchangie mjadala mahususi uliopo mezani bila kuweweseka wala makasiriko na itapendeza zaidi 🐒
 
Katika mazingira ya kawaida maadui wake waliotaka kumtoa uhai hawafurahishwi huyu bwana kuendelea kuishi.
Walitegemea wangemaliza historia yake lakini wakashindwa.
Ukiacha maeneo mbalimbali ya kisheria aliyopitia na kushinda lakini ukweli unabaki wazi kwamba hawawezi kukubali awe huru kwa sababu wanamuogopa.
Hilo jeshi la mtu mmoja si mtu wa tamaa na hata anaopingana nao kwenye siasa wanaelewa Hilo.
Kwa sasa hivi;baada ya kukamatwa na kufunguliwa kesi tumaini kubwa la watesi wake ni kuhakikisha kwamba hafanikiwi katika kesi hiyo na kwamba
Dawa mzee wa kigongoi
 
Back
Top Bottom