gallow bird
JF-Expert Member
- Aug 10, 2024
- 14,676
- 18,265
- Thread starter
-
- #61
Maneno tu ya kwenye kanga hayo, tarehe 31 kila mtu alikua ndani, hakuna internet, hakuna kutokaKwahiyo kipi mlichotibu hadi hapo?
Mnadhani kuua ndo dawa?
Kwenye kichaka cha Tz nchi ya amani tumeshatoka hko kinachofutia kila mtu atasherehekea kwa wkati wake
Uchaguzi si hamkuutaka,mngetuliza vinyeoNa waliosababisha huu mtindinganyo wao wanyongwe, hawa sio wengine bali ni wale waliotuletea uchaguzi wa. kiini macho.
Unamaanisha Mwanasheria Mkuu wa Serikali, Msajili wa Vyama vya Siasa, Tume ya Taifa ya Uchaguzi sababu bila kuzuia Chadema kushiriki uchaguzi, kumfungulia kesi Tundu Lissu, kufanya uchaguzi wa "KISHETANI" kusingekuwepo na maadaamano.Watu wameuawa, biashara, makazi, miundombinu imechomwa, maisha yametatizwa, nchi imechafuliwa
Yote haya yanatokana na wanasiasa na wanaharakati wao kuchochea vurugu mitandaoni na kauli zao za kuhamasisha kwenye majukwaa ya kisiasa.
Wanasiasa na wanaharakati wote washughulikiwe mara moja Ili kuepusha hili kujirudia
We tia tu ulimi puani kama ng'ombe,akili zitarudi tuUnamaanisha Mwanasheria Mkuu wa Serikali, Msajili wa Vyama vya Siasa, Tume ya Taifa ya Uchaguzi sababu bila kuzuia Chadema kushiriki uchaguzi, kumfungulia kesi Tundu Lissu, kufanya uchaguzi wa "KISHETANI" kusingekuwepo na maadaamano.
Inasikitasha Samia ameharibu maisha yake yote kuuwa sio mchezo roho za bin Adam,kama dada mmoja hapo juu mshabiki wa Magufuli alivosema Chuma alikufa kifo kibaya sana Allah atulinde,sasa hata Migodi yoote ya TZ iwe mali ya Samia ndio kiwe nini?? Kutoka sasa baada ya miaka kumi mbele kama ataishi hizo mali hatazihitaji kabisa.Watu wameuawa, biashara, makazi, miundombinu imechomwa, maisha yametatizwa, nchi imechafuliwa
Yote haya yanatokana na wanasiasa na wanaharakati wao kuchochea vurugu mitandaoni na kauli zao za kuhamasisha kwenye majukwaa ya kisiasa.
Wanasiasa na wanaharakati wote washughulikiwe mara moja Ili kuepusha hili kujirudia
Kama walikuwa na sababu yenye maana kufanya hivyoWatu wameuawa, biashara, makazi, miundombinu imechomwa, maisha yametatizwa, nchi imechafuliwa
Yote haya yanatokana na wanasiasa na wanaharakati wao kuchochea vurugu mitandaoni na kauli zao za kuhamasisha kwenye majukwaa ya kisiasa.
Wanasiasa na wanaharakati wote washughulikiwe mara moja Ili kuepusha hili kujirudia
Endelea kuleta nywi nywii.... nchi yetu wote. Tutaelewana mbele ya safari.Uchaguzi si hamkuutaka,mngetuliza vinyeo
Wewe, kiongozi anawajibika kusikia na kuchukua tahadhari na si kulaumu raia baada ya tukio..kwa nini unalazimisha uchaguzi wakati wapiga kura hawataki? una uhakika waliochoma shell ni hao uliowaua? kuchoma shell adhabu yake ni kuodoa uhai? kwa hiyo serikali ni ya wahuni kwa sababu ya wahuni iliowatengeneza yenyewe? acha excuse za kishenzi!Unamdanganya nani, vurugu zimeanzia ubungo kimara,na polisi walikua watulivu pamoja na jeshi,saa nne sheli imechomwa shekilango
Shilole ni fisadi, basement ni fisadi,billnass fisadi?..huyo fisadi huo ufisadi wake ulithibitisha vipi?..kuchoma Mali zake ndiyo sheria?..kama hufuati sheria kwa nini usishughulikiwe kihuni bila kufuata sheria?
Watu wakichoma ofisi za tra,watazamwe tu Ili wachome bank kuu, ofisi ya mkuu wa mkoa, hospital, ikulu,bandari..huo siyo uhujumu?
Dictator Samuya ICC inamuhusu.Mange, Maria na Sativa wafunguliwe kesi.
Ni jambo zuri kuishi kwa matumainiDictator Samuya ICC inamuhusu.
Mauaji hayajaanza siku hiyo ya 29th, hayo ni matokeo tu ya mauaji na utekaji uliodumu kwa miaka kadhaa sasa.Unamdanganya nani, vurugu zimeanzia ubungo kimara,na polisi walikua watulivu pamoja na jeshi,saa nne sheli imechomwa shekilango
Shilole ni fisadi, basement ni fisadi,billnass fisadi?..huyo fisadi huo ufisadi wake ulithibitisha vipi?..kuchoma Mali zake ndiyo sheria?..kama hufuati sheria kwa nini usishughulikiwe kihuni bila kufuata sheria?
Watu wakichoma ofisi za tra,watazamwe tu Ili wachome bank kuu, ofisi ya mkuu wa mkoa, hospital, ikulu,bandari..huo siyo uhujumu?
Kama ulivyokuwa matumaini ya maandamano na vijana hawajatuangusha, kila jambo huanza kwa matumaini.Ni jambo zuri kuishi kwa matumaini
Mnachochea watoto wa watu,wenyewe mmejificha kwenye keyboardKama ulivyokuwa matumaini ya maandamano na vijana hawajatuangusha, kila jambo huanza kwa matumaini.
Ref: Speech ya Martin Luther King Jr ya "I have a dream".
Foolish ideas from a fool.Watu wameuawa, biashara, makazi, miundombinu imechomwa, maisha yametatizwa, nchi imechafuliwa
Yote haya yanatokana na wanasiasa na wanaharakati wao kuchochea vurugu mitandaoni na kauli zao za kuhamasisha kwenye majukwaa ya kisiasa.
Wanasiasa na wanaharakati wote washughulikiwe mara moja Ili kuepusha hili kujirudia
Mweeh.. akisema kiingereza!!Foolish ideas from a fool.
Watu wameuawa, biashara, makazi, miundombinu imechomwa, maisha yametatizwa, nchi imechafuliwa
Yote haya yanatokana na wanasiasa na wanaharakati wao kuchochea vurugu mitandaoni na kauli zao za kuhamasisha kwenye majukwaa ya kisiasa.
Wanasiasa na wanaharakati wote washughulikiwe mara moja Ili kuepusha hili kujirudia
Muliro kachoma mwendokasi,sheli,migahawa,maduka?Waliochchea vurugu mpaka sasa wanajulikana. Ni akina Muliro kwa kutisha watu, CCM kwa kudhihaki watu. Maza kwa kuwaprovok watu na Jeshi la police kwa kurusha mabomu na kushoot watu.
Watu wameuawa, biashara, makazi, miundombinu imechomwa, maisha yametatizwa, nchi imechafuliwa
Yote haya yanatokana na wanasiasa na wanaharakati wao kuchochea vurugu mitandaoni na kauli zao za kuhamasisha kwenye majukwaa ya kisiasa.
Wanasiasa na wanaharakati wote washughulikiwe mara moja Ili kuepusha hili kujirudia
Wapumbavu kama nyie ndo mmesababisha mpaka tumefika hapa badala ya kushughulikia ufisadi,utekaji,matumizi mabaya ya rasilimali,maisha mabovu,siasa chafu vitu ambavyo vimetufikisha hapa mnawauwa watu.hii damu mtalipia nyie na vizazi vyenuKwenye hii miaka mitano Mama asiwachekee hawa wahuni. Iwe bendera chuma mlingoti chuma.. alikosea sana kuanza utawala wake kwa kuwabembeleza kupita 4R zake. Magufuli aliwajua hawa wachumia tumbo ndo maana aliwapelekea moto.