jablesman
Member
- Mar 26, 2015
- 47
- 2
Habari za asubuhi wanajamiiforum, wale waliowahi,wanaosoma sasa na wale waliochaguliwa kusoma chuo kikuu cha kilimo-SUA,tukutane hapa ili tufahamishane machache kuhusu chuo chetu, na pia ni vizuri kila mmoja akataja kozi anayosoma hapo SUA, AHSANTENI SANA naomba kuwakilisha.