Asante mkuu!!!!!Mdogo wangu hakuna ushauri kama kuwa na "NIDHAMU YA SHULE" nakusisitiza tena na tena usifanye chochote ila kuwa na "NIDHAMU YA SHULE" mdogo narejea tena fanya chochote utakacho wewe katika maisha yako ya shule ila tu usijeacha na kusahau "NIDHAMU YA SHULE"
Nawaombe taufiq kwa MUNGU MWENYEZI akutilieni baraka katika masomo yenu
Iv mkuu kwenda kulipa unalipa yote au ......Mwaka wa kwanza hostel ni uhakika kama utawahi kwenda na kulipa... ila mwaka wa pili kwenda juu ni probability
hii nafikiri ni koz mpya hivyo utaielewa zaid ukifika chuoNimechaguliwa bachelor of information and records management..mwenye ufaham ikoje hii
Ajira zke zinakuaje kiongoziHahahaaa coz nzur kuliko zote na n ngumu kuliko zote karibu sana , IPO main campus hyooo
Kati ya "Rural developments" na "Agro business" ipo kali interms of marketing baada ya kumaliza chuo?!!Tunaiita Aea Agriculture Economics and Agribusiness, iko poa tu,
mimi niko kwenye hii course now naingia mwaka wa mwisho (3)
Kalibu Mazimbu..
Kama zinafanana, ila AeA ina application nyingi za uchumi pia ina uwanja mpana wa ajira na kujiari.Kati ya "Rural developments" na "Agro business" ipo kali interms of marketing baada ya kumaliza chuo?!!
tupo wote mkuuMie nimechaguliwa Sua venetiary medicine,ningependa kujua mustakabali wa hii course
Ni nzuri yataka uvumilivu,jitihadi,kujipinda na pupa piaMie nimechaguliwa Sua venetiary medicine,ningependa kujua mustakabali wa hii course
Gwanta boy Fanya sasa udondoshe contact hzo inbobo au cio?tupo wote mkuu
ThanksNi nzuri yataka uvumilivu,jitihadi,kujipinda na pupa pia
Nakutakia kheri karibu SUA
Ahsante sana kwa time yko broAjira uhakika coz graduate wake n wachache sana
Hata mdogo wangu kachaguliwa huko. Hivi kama huna multiple admission si hakuna sababu ya kuconfirm?nmechaguliwa...Bsc of education wth science(biology/agricultural science)
nahitaji ufafanuzi wa agricultural science..