waliochaguliwa Lyamungo high school.

waliochaguliwa Lyamungo high school.

wadau nani mwenzangu wa lyamungu xul....or anayeweza kuwa mwenyeji wangu .....am taking EGM there....here z ma # 0689553689
 
Lyamungo ilikuwa shule enzi za Buriata sjui yuko wapi huyu mzee, wale wa wanywaji wa mbege NARUMU is da best place kwa hiyo kitu, vp sebastian masawe bado yupo?kwa mliopo, nmemalza hapo 2006
 
Atakayepata joining instructions ya hapo anikumbuke mimi kuna dogo langu kachaguliwa hapo (pcb).
 
Hahahaha bifu bado lipo kichinichini ila saivi limebaki lile la kitaaluma na lakufunikana kwenye sherehe ambazo mti safi na lyamungo wamealikwa na kwenye joint mass. Na maendeleo ya kiteknolojia umbwe(mti safi) walikua wa kwanza kuintroduce matumizi ya DSTV shuleni. Lyamungo nao wakaiga. #team mti safi 2011-13(ECA) sijutii kusoma umbwe
 
Ww wa Ubwe unatafuta Bf naona , team Lyamungo ndo mpango mzima nafurah kusoma pale hakuna aja ya kwenda JKT.
 
Ww wa Ubwe unatafuta Bf naona , team Lyamungo ndo mpango mzima nafurah kusoma pale hakuna aja ya kwenda JKT.

duh kweli maana mlikua mnamaisha magumu sana pande zile na yale mabaridi,Tofauti na sisi wa mti safi bata zilikuepo kidogo yani kama vile private school.
 
nmechaguliwa hapo wakuu...2peane taarifa hata joining instructions cjapata
 
Apo nimetoka 2003 bwana Ulizia Majani utapata historia yangu
 
Dah!!. Mmenikumbusha mbali sana. Namkumbuka huyo mzee ulikuwa ukimkorofisha lazima akutoe nduki na mwiko ama tonge la ugali.
Ila alikuwa hapendelei mtu yeyote katika kugawa msosi.
Hivi akina Mwalimu Chicago, Urage, Lyaruu, Mzuzu,Temba bado wapo kweli?

Nyie watoto wangu Mimi enzi za Bureta ndo HM
 
Back
Top Bottom