GRAYSON PATRICK
Member
- Jul 12, 2013
- 27
- 2
Kuna jamaa angu wamechagua hapo alkuwa na wasiwasi xana kumbe ni shule nzuri
dah..m nmechaguliwa hpo...
combination gani mkuu nimechaguliwa hapo PCB
combination gani mkuu nimechaguliwa hapo PCB
Msisau kubeba ufuta ! Lile fongo sio mchezo.
Hahahaha bifu bado lipo kichinichini ila saivi limebaki lile la kitaaluma na lakufunikana kwenye sherehe ambazo mti safi na lyamungo wamealikwa na kwenye joint mass. Na maendeleo ya kiteknolojia umbwe(mti safi) walikua wa kwanza kuintroduce matumizi ya DSTV shuleni. Lyamungo nao wakaiga. #team mti safi 2011-13(ECA) sijutii kusoma umbwe
Ww wa Ubwe unatafuta Bf naona , team Lyamungo ndo mpango mzima nafurah kusoma pale hakuna aja ya kwenda JKT.
Dah JF iwe na age restriction.Kumbe tuko na watoto wa shule humu jamvini?
Dah!!. Mmenikumbusha mbali sana. Namkumbuka huyo mzee ulikuwa ukimkorofisha lazima akutoe nduki na mwiko ama tonge la ugali.
Ila alikuwa hapendelei mtu yeyote katika kugawa msosi.
Hivi akina Mwalimu Chicago, Urage, Lyaruu, Mzuzu,Temba bado wapo kweli?
Mkuu, Vipi umbali wake kutoka Arusha ama Moshi? Inachukua muda gani kufika?Mwambie akaribie kiumeni nimeondoka pale 2011 daa bonge la xul-