Javis Elias Balilemwa
JF-Expert Member
- Apr 7, 2015
- 489
- 67
Last edited by a moderator:
nataka nkute "elimu its like mavii"
wale walio apply diploma udom selection zina toka lini?
jaman naomba mniangalizie coz sion jina langu S1665.0133 mu uminsalim juma
niltumia sms jana kupitia sim kawaida, imetoka tu kwa NMB UDOM haina # ila inasema tu nmb inakupa hongeara kwa kuchaguliwa chuo kikuu dodoma tunakukaribisha ufungue ac kwajili ya kupitisha mikopo na pia itatumika pale utakapoajiriwa.