Waliochaguliwa kujiunga na Stashahada ya Elimu 2015/2016-UDOM

Waliochaguliwa kujiunga na Stashahada ya Elimu 2015/2016-UDOM

tangazo halikutolewa popote kwamba 2ombe mkopo ila walisema mwongozo utatolewa baada ya wanafunz wote kuhakik
 
Sijakuelewa ndugu ina mana kwamba mkopo hautaombwa tena au walisema watatoa utaratibu wa kuomba hivi karibuni
 
Hahahaaa....karibuniii vijaanaaa college ya social and humanity.... Kwa watoto wakishuaaa..... Ukiskiaaa mademu wa udom ndo wapo paleee
 
sasa mkuu ao wa primary watapga pesa ku2zd sis wa miaka m3(mshahara) au 2tatofautiana
 
pia sahih za mwnyekit na mtendaj znatakiwa na sahh ya mdhamin wako so kuombea chuon cjui ivo v2 ka unaweza kuvpata bt may be tareheh ztatolewa kabla ya cku ya kwenda chuon yaan 31/10
 
walisema utaratibu maalumu utatolewa kabla ya kuripoti chuo kwa wale 2 waliothibitsha nia ya kujiunga
 
Jamani ndugu zangu hayo maelezo hapo chini ni ya bodi ya mkopo...mengine ni hadithi tu

Diploma in Science/Mathematics with Education and Diploma in Primary Education (Science/Mathematics) students. For Diploma in Science/Mathematics with Education or Diploma in Primary Education (Science/Mathematics) students who are eligible for loans in the 2015/2016 academic year must meet the following conditions:-

2.11.1 2.11.2 Must be Tanzanian Must have applied for a loan through the Online Loan Application System (OLAS).

2.11.3 Must have been admitted at the University of Dodoma under special programme to pursue Diploma in Science/Mathematics with Education or Diploma in Primary Education (Science/Mathematics).
 
Utaratibu wa mkopo utatolewa na Heslb hiv punde kwahyo tuwe macho kutembelea tovut ya board kila mara ikibid kila cku ili tupate utaratibu wakuomba.
 
Back
Top Bottom